Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Hapo wewe kuwa jasiri sana, ongea na huyo X kuwa unataka kuweka mazingira ya amani kati yako na huyo shemeji yako (ney) hivyo akiridhia, wewe mwite huyo ney, kaa naye sehemu nzuri na tulivu ila sio faraga saana coz usije ukambanjua bureee, so mpigishe kilaji huku ukimuuliza tatizo ni nini? pia mwambie hata yeye unampenda pia ila muendelee tu kuwa mashemeji na wewe usiwe unamuonyeshea sasa umepata ndo basi yeye hana mana wakati tayari umeshamvua nguo ya mwisho!

Komaa naye mpe somo ney ataelewa tu mkuu.
 
Kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa usijione kidume sanaaaaaaaaaa .....
 
Wanawake ni dhaifu sana.Usipotumia hekima unaweza kugonga hadi mama mkwe wako.Cha msingi achana nao wote.Take care wanaweza kukudhuru.
 
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).

Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.

Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?

Kichwa kinauma kila siku.
kunywa hedex kila siku !
 
Hapo wewe kuwa jasiri sana, ongea na huyo X kuwa unataka kuweka mazingira ya amani kati yako na huyo shemeji yako (ney) hivyo akiridhia, wewe mwite huyo ney, kaa naye sehemu nzuri na tulivu ila sio faraga saana coz usije ukambanjua bureee, so mpigishe kilaji huku ukimuuliza tatizo ni nini? pia mwambie hata yeye unampenda pia ila muendelee tu kuwa mashemeji na wewe usiwe unamuonyeshea sasa umepata ndo basi yeye hana mana wakati tayari umeshamvua nguo ya mwisho!

Komaa naye mpe somo ney ataelewa tu mkuu.

mi sikutaka mahusiano na Ney. Ila amekuwa king'ang'aniza sana. Na pia hataki kuelewa somo.
 
Duh,wewe kiboko! Bado unataka upelekage uchaf huo church? Any way.., judge not unles i judge myself. Kuhusu huyo Ney hakikisha siku hiyo havai chupi ndo itakuwa salama yako!
Imagine chupi inatupwa Altareni ! Tena chupi yenyewe imewahi kuvaliwa na spika (mtumba !)
 
mkuu kilaza ... kichwa cha habari kimekaa kama unajisifu vile....?!!
 
Ikiwa km what u have done ulimueleza huyo X na akakusamehe na kweli anakupenda, me sioni km kuna haja ya kusitisha mahusiano yenu na kuoana kwenu. Nobody is perfect, hao wote wanaojidai kushangaa kila m1 ana makosa yake ameyatenda tn pengn makubwa kuliko yako. Wa kukukosoa ni ww mwenyewe na wa kukusamehe ni Mungu wako tu. Songa mbele na ur baby 'X'.
 
mkuu kilaza ... kichwa cha habari kimekaa kama unajisifu vile....?!!
Kweli mkuu ni live bila chenga,jamaa anajifagilia kula vifaranga viwili bado kuku mwenyewe tu,ili awe kala kuku na mayai yake. Nalog off
 
Kwani huyo Ney akivua hilo chupi lake na kuwarushia kuna laana yoyote.
 
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).

Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.

Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?

Kichwa kinauma kila siku.

Maswali ya Msingi:
1. Ilichukua Muda gani tokea Ule tundi la Ney hadi Kumpata X?
2. Je, ulimueleza X about Ney on the spot alipokukubalia au ulimueleza baada ya kumpata au ulimuelezea when unapiga misele?
3. Je Ulipokuwa Faragha na Ney,mlikuwa wapi hadi ikatokea ukala Tundi? mlikuwa Guest, Faragha gan hiyo ambayo ilikuwezesha kula Tundi, Je Ulitumia Condom, kama kweli basi mwana hizaya wewe ulidhamiria, hadi ukabeba zana, kama sio ina maana "uliloweka?".
4. Je umetangaza nia ya Kumuoa X, if No why Ney analeta mambo kuvua Chupi Kaniani, If Yes, ni muda gani umekuwa na X, mikasa mingapi amepata/mmepata kuotka kwa Ney, kwa kipindi gani hasa hadi X akubali umpeleke on the Shrine ilhal akijua kuna kikwazo cha Dadaake (Unless nae Machepele kama Ney)

Ushauri wangu ni kuwa kama umeamua kumuoa X, Tegemea kuishi kwenye Ndoa Chungu Maishani mwako
 
Ndio maana nina mpango wa kumuacha mke wangu kwa kuogopa na changu kuliwa,ili niwe najinafasi vizuri na wake za watu. Nalog off

Kabla hujamuacha mkeo mie ntakuwa tayar nimemtafuna, Nalog in:tongue:
 
Maswali ya Msingi:
1. Ilichukua Muda gani tokea Ule tundi la Ney hadi Kumpata X?
2. Je, ulimueleza X about Ney on the spot alipokukubalia au ulimueleza baada ya kumpata au ulimuelezea when unapiga misele?
3. Je Ulipokuwa Faragha na Ney,mlikuwa wapi hadi ikatokea ukala Tundi? mlikuwa Guest, Faragha gan hiyo ambayo ilikuwezesha kula Tundi, Je Ulitumia Condom, kama kweli basi mwana hizaya wewe ulidhamiria, hadi ukabeba zana, kama sio ina maana "uliloweka?".
4. Je umetangaza nia ya Kumuoa X, if No why Ney analeta mambo kuvua Chupi Kaniani, If Yes, ni muda gani umekuwa na X, mikasa mingapi amepata/mmepata kuotka kwa Ney, kwa kipindi gani hasa hadi X akubali umpeleke on the Shrine ilhal akijua kuna kikwazo cha Dadaake (Unless nae Machepele kama Ney)

Ushauri wangu ni kuwa kama umeamua kumuoa X, Tegemea kuishi kwenye Ndoa Chungu Maishani mwako

Answer:
1. Kama 3months.

2. Siku ya kwanza tu nilimupa ukweli wote. Akakubali na kumshangaa dada yake. (Ney)

3. Tulikutana bar lakini hapo bar kulikuwa na gest pia. Sikutumia condom nilikuwa pombe sana.

4. Kama nilivyosema hapo juu. Nimeshatangaza nia ya koa X.

Asante kwa Ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom