Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei


Hizo ni sehemu kubwa ni biashara kwa foreigners.
Wewe ukiwa mfanyabiashara ukaenda Dubai labda kukaa mwezi mmoja kibiaashara utafikiria kujenga Dubai?
 
Haya uko sawa kwa Dar es salaam. Ila ukienda Nairobi kununua apartment ni kuwekeza. Maana kuna expats wemgi na makampuni makubwa duniani HQ za africa zipo pale.
 
Afisa masoko unajua kuchamba balaa
 
Endeleeni kujenga at least mji upendeze
 
Ni mjinga tu atakae nunua chumba kimoja kwa hicho kiasi yaani million 250 ni upungufu wa akili.
Hapo Haununui Chumba Kimoja unanunua Lifestyle na Location.Hicho Chumba Kimoja nafikiri kinakuwa na Sqm 54 ambazo ni sawa na Mita 7 kwa 8.Sasa huku mtaani chumba kimoja standard ni sqm9-12 so katika sqm 54/12 ni sawa na vyumba vinne na nafasi inabaki ya choo ambayo ndio standard ya nyumba nyingi sana tunazoita self contained huku uswazi.

Hapo inamaana umeuziwa kila sqm 1 Milion 5 hivi ila utapata Commoni Areas,Utapata Sea view,Utapata anuani ya kueleweka,utapata hati na utapata community.Hiyo Appartment yako Single bedromm inakuwa na Chumba Master,Sebule,Jiko,Dining na Choo cha public humo ndani unless mleta uzi anirekebishe maana mimi na yeye hatufahamiani pamoja na kwamba majina yanaingiliana.Kwa Hiyo Location Ukinunua the ukaamua kuipangisha huku wakati huo huo ukiiweka kama dhamana unaendelea kuzungusha hela yako huku unaendelea kula kodi.

All in All kila mtu ana namna yake ya kutazama fursa.
 
Anaekupangia nani wakati ni kwako
Anamaanisha kutakuwa na Real Estate Manager ambaye yeye ndio atakuwa anaendesha Operations za jengo na kuweka masharti kama.
1.Hapa geti litakuwa linafungwa saa 4 usiku hakikisha umeingia ndani mapema ili kuepuka usumbufu
2.Gharama za umeme kila mwezi ni 100,000 lipia mapema kuepuka usumbufu
3.Gharama za maji ni laki moja kwa kila chumba lipia mapema kuepuka usumbufu wa kukatiwa maji
4.Kila mwenye chumba anawajibika kufanya usafi au kulipia gharama kwa ajili ya wafanya usafi na wazoa taka
5.Ukialika mgeni hakikisha anajitambulisha kwa mlinzi wa getini kuandika maelezo ya msingi au ukiongozana naye hakikisha unaripoti getini kwa mlinzi ili kumuandikisha maelezo.
6.Mwisho kabisa makelele hayaruhusiwi ukishaingia ndani ya eneo hili.
ZINGATIA.
Toa ushirikiano na kutii bila shuruti.
Wako katika ujenzi wa jumuia hii.
Ahsanteni.
 
Hizo data umezitoa wap ww?
 
Safi sana, nimeipenda hiyo hujakosea ndio uhalisia wenyewe. Karibu ofisini kwetu ujifunze zaid 0743 598 873
 
Nyumba Tanzania zipo ghari sana kuliko hata bei ya Nyumba SA...
250m unapata nyumba ya 166m maeneo mazuri na unabaki na chenji ukitaka utumie 200m pia unaenda huko Rosebank,Edenvale unapata nyumba ya chini yenye swimming pool..
Ni kweli, nyumba bongo ni ghali sana na hazina ubora wowote, wanazi overpriced tu. Maana bongo mara kuna shida ya maji, mara umeme na utokee moto sasa ni oven hio. Huduma za zimamoto ni majanga. Kwahio pesa unapata apartment safi Abu Dhabi ina kila kitu na change inabaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…