denisi_masoko
Senior Member
- Aug 15, 2016
- 195
- 156
- Thread starter
- #101
Badilisha kwanza dp yako ww kukuMfano Hiyo nyumba ikipata majanga ya moto au kuanguka kiwanja kitakua cha Nani?
Badilisha kwanza dp yako ww kukuMfano Hiyo nyumba ikipata majanga ya moto au kuanguka kiwanja kitakua cha Nani?
Dalali aheshimiwe busu la kenge😂Usikute hizo apartments ni zake kamtuma huyo dalali kumtangazia.
Unaakili timamu kweli? Naweza nikakupa mitusi nikajua namtukana mwenye uelewa kumbe dishi lilishapotezaga satellite kitambo sana.Hapa ndio mnadanganya watu, Tanzania inahitaji miaka 100 kurudisha pesa ya nyumba kama hizo kwa kupangisha.
London, Dubai, New York, Paris, return huwa inarudi within 10 years kwa sababu nyumba kwenye hiyo miji ni very expensive, one bedroom rent on average ni Dola 600 kuendelea, Wakati Tanzania dola 600 unapata nyumba nzima
Daah ngoja niendelee kujikita huku..Hizo ndio mada unazozijua mambo ya property huyawezi achana nayo😂
Bac baki kwenye udereva wa malori mambo ya apartment huyaweziDaah ngoja niendelee kujikita huku..
View attachment 3547016
Sasa hizo apartments umeambiwa hazipandi thamani?
Hilo eneo lilipo wewe unaona ni chanika hapo?
Hiyo elimu ya uwekezaji naijua, ndiomana nikakwambia hata huo pia ni uwekezaji..!!
Biashara ngumu sana hiyo mazee unauza kitu bei inazidi hata Ulaya sehemu ambayo maji hakuna uhakika,umeme vile vile...Bac baki kwenye udereva wa malori mambo ya apartment huyawezi
Biashara ngumu sana hiyo mazee unauza kitu bei inazidi hata Ulaya sehemu ambayo maji hakuna uhakika,umeme vile vile...
Kagombee ubunge katunge hizo sheria zako😂Mimi hoja yangu ni simple.
1. Tanzania hakuna mtaa expensive sawa na London, 94K per bedroom kwenye flat hapa Tanzania ni overprice
2. Maeneo yote Tanzania hakuna sehemu yoyote yenye miundombinu sawa na Eneo lolote la Ulaya
3. Nimesema Wizara ya Ardhi inatakiwa ianze kuregulate biashara ya Nyumba na Ardhi
FYI Mimi mwaka ulioisha nimepata zaidi ya million 30 ya rent hapa Ulaya na nyumba iliyoingiza hiyo pesa ni 3 bedrooms Bei yake ni ndogo kuliko hiyo nyumba ya 3 bedrooms.
Point ninayotaka kuweka hapa ni kuwa Wizara ya Ardhi izuie udalali, na bei ziwe kwa tathmini sahihi
Daah Mungu akusaidie sana kama unanipigia kelele na usd 4000.Huna unachojua mzee ni ngumu kama hujui nani unampelekea bidhaa yako. Mimi ni mzoefu kwenye kazi za masoko kwa zaidi ya miaka 12 mpaka naamua kukubali kazi hii najua wateja napata vipi kwa sabb mungu sio Isanga family alhamdulilah dola 4000 sikosi kwa mwezi. Wee ning'iniza kiuno kwenye Lori hilo mwenzio nakula kiulaini sana hata sitokwi jasho ni simu tu nacheza nayo na wateja napata😂😂. Napata matajiri wenye hela nikipost tu hawacomment utumbo kama ww wananipigia wanakuja site tunamaliza nikitoka hapo naenda kunywa zangu bia kiulaini sana. Simple like that
Nchi zilizoendelea wanaonunua hizo apartment ni masikini tofauti na kwetu eti tajiri ndio anaishi kwenye banda la njiwa..Kwa maoni yangu mimi, mtu kununua apartment ni ulimbukeni sana. Apartment ni za kupanga tu siyo kununua na kufanya makazi yako ya kudumu. Maisha ya kwenye apartment ni kwa vijana ambao bado wanajitafuta. Mtu mzima anatakiwa aishi kwenye nyumba yenye uwanja na privacy.
Huna hela bana ww hebu tafuta kazi ufanye😂😂 maneno meeengi pesa mfukoni Huna, ulishawahi kuona wapi tajiri akawa na mbwembwe nyiingi😂 matajiri wanapiga simu wanakuja site wanamaliza. Ww kutwa kujiona sijui mdubai,mlondon sijui mmarekani harafu hiyo 94000 dola unailalamikia. Kuna tajiri kachukua floor 2 huku kwa 1.5m dola za 3 bedrooms harafu yupo kimya na wala hawazi😂😂 ila ww kujitapa kwingi 94000 unashindwa kuilipia hata bedroom 1. Kama kweli ww una hela njoo ofisini kesho ulipie vinginevyo ww na mpiga debe hamna utofauti.😂😂Daah Mungu akusaidie sana kama unanipigia kelele na usd 4000.
Una miaka 12 unaleta dharau kwa Ma legend sio...
Mimi sio level yako ya kubishana na wewe kwa kitu chochote labda mtoto wangu ndio usumbuane nae...
Chumba na sebule.Mi naombeni mnipe elimu kidogo kuna vitu vimenipita,mnaposema 1 bedroom manake ni chumba na sebule au ni chumba kimoja tu? Yaani geto.
Safi sana bhana umenifurahisha sana wacha mimi mpiga debe nikae kimya all in all biashara njema uwe na siku njema...Huna hela bana ww hebu tafuta kazi ufanye😂😂 maneno meeengi pesa mfukoni Huna, ulishawahi kuona wapi tajiri akawa na mbwembwe nyiingi😂 matajiri wanapiga simu wanakuja site wanamaliza. Ww kutwa kujiona sijui mdubai,mlondon sijui mmarekani harafu hiyo 94000 dola unailalamikia. Kuna tajiri kachukua floor 2 huku kwa 1.5m dola za 3 bedrooms harafu yupo kimya na wala hawazi😂😂 ila ww kujitapa kwingi 94000 unashindwa kuilipia hata bedroom 1. Kama kweli ww una hela njoo ofisini kesho ulipie vinginevyo ww na mpiga debe hamna utofauti.😂😂
Mbona unakuwa na jazba senselessly wakati unatangaza biashara? Si lazima kila mtu apende au akubaliane na hiyo biashara unayoitangaza, you don't have the right to force people to agree with you. Each and every individual is entitled to have his/her own opinion.Huo ni umasikini wako unakusumbua kenge ww, kwahiyo watu wasijenge majengo marefu kisa ww unafikilia zimamoto. Kwanza hela Huna ya kukaa gorofa ya 15 au 17 wenye hela wanalipia huku😂 unaleta stress zako za maisha kwenye biashara na maisha ya watu😂😂😂 utakufa masking hivyo hivyo😂
Kama apartments ni kitu cha kukushangaza na kukuchekesha kwenye maisha yako, Bac niseme tu una safari ndefu sana kwenye maisha yako. Tafuta michongo ufanye upate hela nyingi. Kwenye huu mradi watu wananunua floor mbili zenye thamani 3m dola ww unashangaa 94000. Tafuta kazi ufanye aua kama Huna mchongo namba yangu ipo hapo nipigie njoo ofisini niletee mteja ntakupa dola 3000 kila mteja.
wewe ni dalali?Kagombee ubunge katunge hizo sheria zako😂
Hizo zote ni stress zako za maisha hela ya kula yenyewe unaipata kwa shida sana Ndo maana imekuuma ulivyosikia napata 4000 dola kwa mwezi. Pambana tafuta michongo utakuja kufa na kisukali kwa kuwaonea dongo wanaume wenzio walioamua kupambana kwa jasho Lao kijana. Tafuta kazi ufanye usipoteze muda uzee hauna hodi oohoooo😂😂😂😂😂😂😂
Hilo ndio ulilotakiwa kulifanya mapema sana ilipofika saa 3 usiku ulitakiwa uwe umeshalala. Ila kwa sababu ya umbea wako ukakurupukia mambo yasioyokuhusu ndo maana umejichelewesha kulala😂 lala pumzika kesho uwahi kuamka uendelee na harakati zako za kutafuta 5000 ya kula, mambo apartment achana nayo yatakupasua akili waachie matajiri wananunua hata discount hawataki wao😂😂😂😂😂 haya usiku mwemaSafi sana bhana umenifurahisha sana wacha mimi mpiga debe nikae kimya all in all biashara njema uwe na siku njema...
Wanavyokuja ndivyo wanapokelewa hilo tangazo sio la watu masikini nimewaambia mapema😂 hilo Tangazo linawahusu matajiri, wenye mapene, madoni, sio walala hoi. Sasa cha kushangaza walala hoi wengi wamejazana kwenye comment ni kama vile linawahusu. Kama na ww ni wale wale nakupasua vile vile. Kama una hela njoo ofisini kesho uangalie mradi, Kama uko interested utapunguziwa bei na mchina mwenyewe utalipia mambo mengine yataendelea. No moresMbona unakuwa na jazba senselessly wakati unatangaza biashara? Si lazima kila mtu apende au akubaliane na hiyo biashara unayoitangaza, you don't have the right to force people to agree with you. Each and every individual is entitled to have his/her own opinion.
Ww unaakili timamu?wewe ni dalali?