RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Ha ha ha hujuibwateja wa hizi apartments.Tanzania biashara ya real estate iko nyuma sana.
Mwenye dola 94K cash hawezi kununua nyumba ya chumba kimoja wakati anaweza kununua kiwanja cha heka kadhaa alafu akajenga.
Nadhani inabidi Tanzania tuanze kuangalia models kama za mataifa yalifanikiwa kwenye real estate mtu analipa 10-20% alafu inayobaki analipa kama Mortgage