Hiyo sio mada kwamba ni ya kuchangia au utoe comment kenge ww, hiyo ni biashara ya mtu imepostiwa mwenye lengo la kununua apige simu aje site aangalie mradi anunue. Unapokuja na comment zako uchwara ninachokifanya naruka na ww walahi sikuachi nakupasua vzr tu kenge ww. Una hela nunua kama Huna nenda kaishi mabonde kuinama huko😂 au kama vip nenda kijijini kwenu huko usisumbue watu, ukikaa Dar unatakiwa uwe mpambanaji wa kutafuta michongo upate hela uishi vzr. Wenzenu wanapamba kutafuta fursa wapate hela mnakuja na comment zenu uchwara hapa. Mi nawamudu hamnisumbui na hela napata. Kwenye hii post nimepata mteja wa one bedroom kalipa leo 30% mi ganji langu 5mil ww unacomment uchwara unazani ntakuacha😂😂 sahau hilo