Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

You're such moron, haya nipasue. You have no idea who might be the potential customers but still you're spitting crap to almost everyone.
Welcome to Oakville you'll obviously learn something.
I'm not stupid like you think, my post isn't political topic is the Business announcement so I'm not here to answer you nonesense questions, step away on this. Stupid
 
Kwahiyo ni kama
123,157,500+VAT+RDL+IMPORT DUTY ndo inafika Bongo?
SA unauziwa bila 15% VAT maana kodi yako unakuja kuilipia Tunduma unapewa karatasi za export karatasi unapewa za kwenda kuonyesha boarder utakayotoka kama Tokwen,Martindrift au Messina unatoka kama ulivyoandika kwa agent..
Impoty duty utalipia Tunduma sawa..
tunapita zambia/kazungula ingawaje kupitisha gari pale pana gharama kidogo ila hakuna namna..
Njia ya pili unaweza kununua na 15% VAT harafu ukilipia kodi Tanzania unawatumia documents SA wanakurudishia kodi uliyolipa SA bila shida ila majina ya mlipakodi Tanzania yafanane na mununuzi SA.
 
Huku kwetu utalipa 18% na importation taxes.
Ahaa hapo kuna refund endapo kule ikiwa cost ni VAT inclusive, ila kupitisha Zambia Customs kuna duties unalipa kulingana na value au tonnes??
 
Kwan huwez kumtumia direct hiyo sms yako. Mbwembwe nyiingi kwenye post yangu harafu unalia kuhusu 94000 dola😂😂😂 katumianeni inbox huko hela hamna mna maliza miti tu blaa blaa kibao 94000 tu mnatoa milio😂😂. Mkitumiana tena Hapa nawatukana
Ukisikia biashara kichaa ndo hii
Huna hela babu wenye hela wananunua huku, harafu kizuri wamekuzidi kila kitu mpaka dhambi Huna utakacho waambia. Kamata boda boda ingia mtaani ule vichwa upate hela ya kulala jioni ikifika kojoa ulale. Mambo ya luxury apartment huyawezi kenge ww
 
Mzee huu mtandao ni wa Mero acha kupiga watu mikwara mimi siwezi kukutukana mtandaoni ila ningetukanwa live ndio shida mazee punguza stress za maisha acha kuvamia watu asubuhi asubuhi tajiri wa wapi ana stress na matusi kibao.
 
Huku kwetu utalipa 18% na importation taxes.
Ahaa hapo kuna refund endapo kule ikiwa cost ni VAT inclusive, ila kupitisha Zambia Customs kuna duties unalipa kulingana na value au tonnes??
Hapana pale Zambia unamtumia agent anaweka bond wengine wanachaji 300 usd mpaka 420 usd na pia utalipia toll gate zao kutoka Kazungula mpaka Nakonde hilo ni XT ya 2019 za 2016 bei zinapungua na kodi inapungua pia ila G 560 ya 2015 na 2017 kodi zake zimechangamka sana.
Ukifika Tunduma one border post unalifuta kuwa limefika ili yule agent kule aweze kupewa Bond yake..
 
I'm not stupid like you think, my post isn't political topic is the Business announcement so I'm not here to answer you nonesense questions, step away on this. Stupid
I insist you come to Oakville so that you learn the ABCs of apartments and how to advertise, you think acting queer makes you cool?
So what has politics gotta do with this? Why bring the politics nonsense here?
Once an imbecile always an imbecile, claiming you're not here to answer nonsense questions whilst you're girlishly popping up to answer every comment.
If 💩 was a person....!
 
Tatizo sekta ya Real estate imeingiliwa na watakatishaji fedha bei zimekuwa na uhalisia usio kuwepo tujipe muda kama serikali itatupia jicho kweli kweli kwenye hela chafu halo itakaa sawa ila kama wakiendelea kufumbia macho basi bei zitaendelea kuwa juu
Kenge mmoja ww kwann mnataka kuforce mfanane kwenye maisha? Kwan apartments za bei za chini umeambiwa hazipo? Nenda magomeni utazipata au nenda kawe pale kwa mwamposa utazipata. Genz kila kitu nyie mnajifanya mnajua😂 nikikuelekeze kwenye apartments za gharama uendee bei zake ukitajiwa utazimia ww kenge maji. Kama Huna hela usitake kuforce ufanane na wenye hela, nenda kaishi Chanika,kisemvule kwenye ukiwa na mil 10 unapata kiwanja na chumba na sebule unasimamisha. Hii post ni ya watu wenye hela zao, madoni mjinj, wenye mpunga usiokuwa na mawazo, sio masikini ww. Wenzio wanapambana kutafuta hela kihalali ww unasema watakatushaji pesa😂 Ubongo wako umejaa kinyesi kila mwenye hela hapa mjini unamuona mpigaji, mtakatishaji ndio unavyofikilia, kufanya hamtaki kazi yenu kumendea WiFi za watu ili muingie jamii forum kutukana watu, kukejeli jitihadi za vijana wenzenu, mnajifanya wajuaji sana wakati maisha yenu ukiugua ugonjwa wa 100,000 unaomba michango ya ndugu. Acha usenge tafuta michongo ufanye hapa mjini sio kila mwenye pesa fisadi au mtakatushaji pambana ww ni mtoto wa kiume utakazwa
 
Kwahiyo na ww unajiona ume
Yan 😂 mleta Uzi , apartment anaona ni kitu kinachotakiwa kuwa cha gharama kubwa na kwa watu matajiri.

Ukweli ni kwamba hakuna tajiri hata mmoja anaekubali kuishi na familia yake kwenye apartments. Apartments ni Kwa ajili ya kuwapangishia mahawara.

1 world countries Apartments ni Kwa watu kipato cha chini na ka

Huyo ni dalali
Nenda manhatan masaki kenge ww. Huna akili😂
 
I insist you come to Oakville so that you learn the ABCs of apartments and how to advertise, you think acting queer makes you cool?
So what has politics gotta do with this? Why bring the politics nonsense here?
Once an imbecile always an imbecile, claiming you not here to answer nonsense questions whilst you're girlishly popping up to answer every comment.
If 💩 was a person....!
Mpuuzi mmoja ww nauza property pasipo msaada wa mtu na natengeneza hela tena nyingi, mpelekee mama yako hiyo elimu msaidiane mpate hela, hujaitwa hapa shobo zako ndio zimekuleta
 
Mzee huu mtandao ni wa Mero acha kupiga watu mikwara mimi siwezi kukutukana mtandaoni ila ningetukanwa live ndio shida mazee punguza stress za maisha acha kuvamia watu asubuhi asubuhi tajiri wa wapi ana stress na matusi kibao.
Ndio nikushangae ww sasa unaandika dola nyingi kwenye comment harafu ukiambiwa dola 94000 unatoa milio, ndo maana nasema punguza mbwembwe Huna hela ww ni masikini tu😂 kwenye post yangu hutakiwi kuwepo ni shobo zako tu ndo zinakufanya uendelee kubung'aa hapa chukua time babu
 
Mpuuzi mmoja ww nauza property pasipo msaada wa mtu na natengeneza hela tena nyingi, mpelekee mama yako hiyo elimu msaidiane mpate hela, hujaitwa hapa shobo zako ndio zimekuleta
In case you don't know this is a hundred percent free forum and foolishly bragging about making money definitely the opposite is the reality.
Exposing your Uswazi character makes you sound pathetic plus that desperation of forcing validation is sending you to a treacherous terrain.
 
Ndio nikushangae ww sasa unaandika dola nyingi kwenye comment harafu ukiambiwa dola 94000 unatoa milio, ndo maana nasema punguza mbwembwe Huna hela ww ni masikini tu😂 kwenye post yangu hutakiwi kuwepo ni shobo zako tu ndo zinakufanya uendelee kubung'aa hapa chukua time babu
Unahangaika kweli mazee wenzio hela za kazi tu hizo humu wengi wanajua hii kazi na navyofanya ukiniita masikini shida ipo wapi mazee Nchi yetu tunatambulika kama masikini au Tanzania ni USA hiyo si wachimbachumvi tena wasaka nyoka tu kama wewe jasho linakutoka kwa udarali tu..
IMG-20260218-WA0121.jpeg
 
Kwa maoni yangu mimi, mtu kununua apartment ni ulimbukeni sana. Apartment ni za kupanga tu siyo kununua na kufanya makazi yako ya kudumu. Maisha ya kwenye apartment ni kwa vijana ambao bado wanajitafuta. Mtu mzima anatakiwa aishi kwenye nyumba yenye uwanja na privacy.
Mbona unajichanganya sasa. Sasa si mtu ananunua ili aweke hao vija a wapangaji? Kama ulivyosema ni nyumba za biashara. Kwahio kununua inakuwaje tena ulimbukeni? Halafu kuna mtu yeye anataka akae Masaki na hawezi kutoa $2m anunue nyumba/kiwanja sasa option yake ni kununua apartment yake.
 
Kagombee ubunge katunge hizo sheria zako😂
Hizo zote ni stress zako za maisha hela ya kula yenyewe unaipata kwa shida sana Ndo maana imekuuma ulivyosikia napata 4000 dola kwa mwezi. Pambana tafuta michongo utakuja kufa na kisukali kwa kuwaonea dongo wanaume wenzio walioamua kupambana kwa jasho Lao kijana. Tafuta kazi ufanye usipoteze muda uzee hauna hodi oohoooo😂😂😂😂😂😂😂
Hakuna dalali hapa Tapeli wewe

Pumbavu
 
Back
Top Bottom