HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Tafuta hela, watu wananunuaNi mjinga tu atakae nunua chumba kimoja kwa hicho kiasi yaani million 250 ni upungufu wa akili.
Tafuta hela, watu wananunuaNi mjinga tu atakae nunua chumba kimoja kwa hicho kiasi yaani million 250 ni upungufu wa akili.
Yes I'm okay broo but I'm ready to receive any positive criticism not negative.Are you okay? Biashara siyo vita na lazima uwe tayari kwa criticism.
Nilikuwa najibu post #171 ambayo inefafanua na kuchanganua vizuri sana kibiashara.
Dalali denisi unatumia hisia sana kuitangaza biashara yako na maneno yako hayabebi uhalisi wa unacho kiandika, Mkuu M O S T E R anakuja kwa ustaarabu na utulivu lakini wewe unajibu mavimavi tu.K
UNAPOKELEWA KAMA ULIVYOKUJA UKIONGEA UNGESE MI NADOUBLE UNGESE, CHUKUENI TIME BIASHARA YANGU SIDEAL NA WATU MASIKINI, HIVYO YAANI
Acha usenge, unadhani matusi yananunuliwa.Kenge maji ww mimi nawasokota matajiri wanatoa hela bank more than 200k usd
Nakupokea kama unavyokuja. Nagawa wastani kwa idadi😂 ukija kiustarabu ntaenda na ww kiustarabu, ukija ukiwa umekula skanka mi nakuvutia bangi kabisa. Mpuuzi ww
Now that's maturity, always be positive.Yes I'm okay broo but I'm ready to receive any positive criticism not negative.
Sinaga uvumilivu kwa watu wanaokosa heshima na post za watu, mimi kupitia post yangu hii nimeshapata watu tayari wameshakuja site, na hao watu hawaja comment chochote walichokifanya baada ya kuona post yangu wamenipigia nimewapa more information wamekuja site na ofisini kwetu leo na jana mambo mengine yanaendelea. Nyie masikini ndio mnashida sana comment zenu za hovyo lengo lenu sio kutaka kujua mradi ila kejeli,dharau, matuc na kuharibu sifa ya mradi wangu. Siwez kuwaacha ntaruka na nyie. Kama mtu yyt kama ana mteja anipigie tuongee alete mteja ofisini mimi nampa 1% ya total price ya unit. Ila wale wenye kejeli sitowaacha naruka nao. Ukitaka kunipa mteja nipe hutaki acha. Wenye akili timamu wakiona post watanicheki. PeriodWe jamaa upo unprofessional hata kama mtu alikua ana interest na hizo nyumba kufanya biashara nawewe lazima asite, huwezi tukana watu alafu hapo hapo wengine unataka wakuungishe, jifunze kutulia when provoked.
I'm not here for criticism broo nakupasua tu mi wateja napata hata nikikutukana ww kenge maji.Acha usenge, unadhani matusi yananunuliwa.
Stick to your business, kama lengo ni biashara kuwa tayari hata kupokea criticism.
Waliokuja kiustarabu wote nimewajibu kiustarabu na hakuna aliekasirika. Muambie monster aingie vzr ntampokea vzr. Angekuwa mteja angeshanipigia simu lakin huyu ni mmpoteza muda tu mitandaoni.Dalali denisi unatumia hisia sana kuitangaza biashara yako na maneno yako hayabebi uhalisi wa unacho kiandika, Mkuu M O S T E R anakuja kwa ustaarabu na utulivu lakini wewe unajibu mavimavi tu.
Huko juu umesema umekuja humu kuna wateja wako umewa target lakini kwa uharo unao utoa hapa sidhani kama utapata mtu.
Kama kweli una 12 yrs kwenye udalali basi, Tuliza fuvu, be profesional.
Sinaga uvumilivu kwa watu wanaokosa heshima na post za watu, mimi kupitia post yangu hii nimeshapata watu tayari wameshakuja site, na hao watu hawaja comment chochote walichokifanya baada ya kuona post yangu wamenipigia nimewapa more information wamekuja site na ofisini kwetu leo na jana mambo mengine yanaendelea. Nyie masikini ndio mnashida sana comment zenu za hovyo lengo lenu sio kutaka kujua mradi ila kejeli,dharau, matuc na kuharibu sifa ya mradi wangu. Siwez kuwaacha ntaruka na nyie. Kama mtu yyt kama ana mteja anipigie tuongee alete mteja ofisini mimi nampa 1% ya total price ya unit. Ila wale wenye kejeli sitowaacha naruka nao. Ukitaka kunipa mteja nipe hutaki acha. Wenye akili timamu wakiona post watanicheki. Period
It's depend with the situation mimi katika kitu namshukuru mungu sijuagi kuigiza nikikuchukia nakuonesha huo ndio uhalisia wangu. Ukiwa mwana naishi na ww kiuwana, ukiwa snitch naishi hivyo hivyo utakavyo. So naishi na ww viile utakavyoNow that's maturity, always be positive.
👍🏾
😂😂😂😂😂😂😂Unaakili sana excellent brooHumu JF unabishana na bodaboda na wauza mifuko
Mwenye hela huwa hana longolongo
Siwez kutulia kama mtu anaatoa kejeli kwenye msafara wa mamba unaambiwa na kenge wamo. Sasa mimi Nadeal na wote mamba na kenge😂😂😂We jamaa upo unprofessional hata kama mtu alikua ana interest na hizo nyumba kufanya biashara nawewe lazima asite, huwezi tukana watu alafu hapo hapo wengine unataka wakuungishe, jifunze kutulia when provoked.
UKIJIHESHIMU HUWEZ KUSIMANGWA MZEE, HAKUNA ATAKUGUSA ILA UKISHINDWA KUJIHESHIMU UTAVUNJIWA HESHIMA TU.INABIDI MODS WAWEKE JUKWAA LA MATAJIRI ILI WAWE WANAKUTANIA HUKO WENYEWE MAANA HUKU MASIMANGO YAMEZIDI!!!
Ukileta miyeyusho nakuchefua kweliDalali kichefuchefu 😅😅
Mimi na wewe nani anaropoka kijana?Kama vitu huvijui uliza utasaidiwa usiropoke kitu ambacho hukijui utanifukuzia wateja kwenye post yangu. Hebu tenga muda zunguka kwenye miradi ya masaki uliza wanauzaje kwa kila unit na wanapangishaje kwa kila unit harafu hilo jibu baki nalo litakusaidia siku nyingine usiropoke hovyo.
Tafuta hela hizi apartment hata vijana kama ww wanaishi😂Mimi na wewe nani anaropoka kijana?
Single room dola 94k....
Haya wahindi wanakuja.
Mpambano unaendelea 😹😹Duh mleta mada anasuta balaa! 😀😀😀
Wanazingua hawa ******* badala ya kupiga simu waje ofisini waangalie mradi wanaongea usenge usenge, mi siwaachi nawapasua, tena nawakanyagia kweli kweliMpambano unaendelea 😹😹
KWeli mkuu sikupingi. Ngoja tutafute hela.Tafuta hela hizi apartment hata vijana kama ww wanaishi😂