Iko nyuma kwa sabb watanzania wengi mnapenda vitu vizuri kwa bei ya mseleleko, harafu ujuaji mwingi kumbe Huna unachokijua. Kaka hiyo dola 94dola kwa standard ya mradi wetu sisi tuko chini kulinganisha na washindani wetu kama Simba developers, Swan, manhatan masaki, Laluna masaki, Johari masaki, No 7 garden masaki hao developers wote niliowataja wana property bei zao zimesimama masikini kama ww hutii put yako. Lakin cha kushangaza utakuta iko full, wenye hela wamezinunua😂😂.
Ngoja nikupe elimu kidogo.
Apartment masaki za one bedroom zenye square meter 48 hadi 49 zinaanzia dola 120,000 mpaka 150,000😂.
Lakini zetu sisi ni square meter 54 tunauza 94000 dola.
Ukiangalia size ya square meter yetu ni kubwa na bei ni ndogo kulinganisha na wenzetu.
Unajua kwann? Ukiniuliza ntakupa jibu.