Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Anakuigizia babu, nipe data halisi harafu ntakupa za kwangu. Project nzima ya palm village ina unit ngap na ameuza ngap mpaka sasa, zimebaki ngap? Na tukitoka hapo niambie service charge yake ni bei gani kila mwezi kwa kila unit au bedroom au apartment moja. Na mradi toka ukamilike una muda gani? Nijibu hivyo vitu 3 harafu na mimi ntakupa majibu yangu ya ile property.
HA HA HA HA ENDELEA KUTAFUTA MASOKO denisi!!!!!
 
ha ha ha kwanini ? ebu tupe sababu aisee inaweza kunisaidia kubadili mawazo
Hana anachokijua yule mzee atakupotezea muda wako tu
Mie nafikiri wangeweka affordable 45ml mpka 100ml kama hizo za NHC KAWE , KWA MWAMPOSA. sema nao wamefuata mkumbo hiyo project kawe beach 4ooml mpka 600ml zimedollola wanunuzi wa kusuasuasq. eti wana projecction ya kodi 1500usd mpaka 3000usd one bedroom to threebedroom
Ukitaka affordable price nenda kwenye miradi ya NHC babu utapata kwa bei unazozitaka ww😂
Mimi nina hela na ndio maana najua uchungu wa kuzitumia hovyo; wewe huna hela unategemea commission baada ya kuwauzia wajinga hizo apartment uchwara!! Hakuna wauza madawa ya kulevya hapa bongo wa kuweza kununua upuuzi wenu huo!! Utangoja sana!!!
Usiseme tu commission sema rundo unaijua 3% ya 300k usd ww😂
 
Kuna tatazo moja kubwa sana Tanzania kwa watu wanajua masuala ya uchumi nadhani watakuwa wameliona,miradi mingi inayoanzishwa na baadhi ya wenzetu na taasisi za serikali haindani na hali halisi ya uchumi wa watu walio wengi.
Mfano wengi wanaoanzisha miradi kama hiyo imetokana na fedha za wizi serikalini au biashara haramu zisizoendana na maeisha ya kiuchumi ya watanzania-mwishowe hubaki kama white elephant projects.
 
Kauli yako: Mtu kujunua apartment ni ulimbukeni.
Kauli yako tena: apartment ni za kupanga tu sio kununua uishi.
Afadhali ulisema ni maoni yako hata kama hayana maana yoyote kwa meingine ni maoni yako.
Nimepitia apartments nyingi sana jijini Dar; wamiliki wake ndio wanaishi mle, siyo wapangaji. Ni chache sana zilizo chini ya Airbnb zinazopangisha wasafiri na watalii; hizi zinamilikiwa na kampuni inayomiliki apartments hizo, siyo mtu mmoja mmoja aliyenunu chumba. Ninachoongelea ni hilo la kununua aparatment kusudi uishi ndani.
 
HA HA HA HA ENDELEA KUTAFUTA MASOKO denisi!!!!!
Mchina sio mpumbavu babu hawekezi tu hela yake akapata hasara, hayo maswali ma 3 niliyokwambia mimi hata ukija ofisini siwez kukwambia kwa sababu ni ndio yanayoupa faida mradi zunguka dunia nzima. By the way unachotakiwa ujue hakuna mfanya biashara atakae kwambia anapata faida au amepata faida ngap kwa sabb ni jambo binafsi. Property za kawe zimekamila juzi tu lakin ukienda pale aliezijenga ameshaziuza zote kwa wateja lakin sio kwamba zote zinakaliwa na watu hapana. Kuna watu hao wanajua kucheza na hizi biashara, wananunua hizo apartment zikiwa kwenye ujenzi kwa sabb zinakuwa bei za chini, zikikamilika hawazipangishi wala hazikaliwi na mtu, wanachokifanya baada ya muda fulani wanaanza kuziuza taratibu kwa kudouble price aliyonunulia.
 
Hana anachokijua yule mzee atakupotezea muda wako tu

Ukitaka affordable price nenda kwenye miradi ya NHC babu utapata kwa bei unazozitaka ww😂

Usiseme tu commission sema rundo unaijua 3% ya 300k usd ww😂

Ndio maana nikakuita FALA kwasababu hiyo commission yako ya 3% converted to hela ya madafu ni shilingi 22 million!! Sasa hiyo nayo ni hela ya mwanaume kusimama na kutamba kuwa ana hela? Wewe limbukeni tu , wenye hela wametulia wako kimya wanawaacha nyie chawa muhangaike.
 
Nimepitia apartments nyingi sana jijini Dar; wamiliki wake ndio wanaishi mle, siyo wapangaji. Ni chache sana zilizo chini ya Airbnb zinazopangisha wasafiri na watalii; hizi zinamilikiwa na kampuni inayomiliki apartments hizo, siyo mtu mmoja mmoja aliyenunu chumba. Ninachoongelea ni hilo la kununua aparatment kusudi uishi ndani.
Kuna ishu hapo katikati huijui kwann nyingi majina zinasoma developers, na pia hujui kwann zinasoma majina ya kampuni fulani sio mtu mmoja. Ili uelewe hilo unatakiwa uwe mfanya biashara wa hizi biashara😂😂😂 ndio maana masikini ni wengi matajiri ni wachache. Lakin naomba nikutanie kidogo kama unaakili timamu utafungua code. Unajua kwann baadhi ya watu hawahifadhi pesa zao bank?😂
 
Ndio maana nikakuita FALA kwasababu hiyo commission yako ya 3% converted to hela ya madafu ni shilingi 22 million!! Sasa hiyo nayo ni hela ya mwanaume kusimama na kutamba kuwa ana hela? Wewe limbukeni tu , wenye hela wametulia wako kimya wanawaacha nyie chawa muhangaike.
Nashukuru umefanya calculation haya sasa kojoa ulale
 
Umekubali sasa kuwa wewe ni masikini tu huna hela?? Hiyo mill. 22 ni matumizi ya weekend moja tu huko Kiwengwa, Zanzibar.
Nimekwambia kojoa ulale sibishani na masikini, ww kama una hela njoo kesho ofisini ulipie three bedroom ya 150sq floor ya 17 inauzwa 350k usd. Kama kweli ww 22mil kwako ni hela ya weekend.
 
Kuna ishu hapo katikati huijui kwann nyingi majina zinasoma developers, na pia hujui kwann zinasoma majina ya kampuni fulani sio mtu mmoja. Ili uelewe hilo unatakiwa uwe mfanya biashara wa hizi biashara😂😂😂 ndio maana masikini ni wengi matajiri ni wachache. Lakin naomba nikutanie kidogo kama unaakili timamu utafungua code. Unajua kwann baadhi ya watu hawahifadhi pesa zao bank?😂
Una mapungufu makubwa sana ya ulelewa wa biashara za real estate. Tofautisha kabisa real estate developer na real estate agent au kwa jina jingine realtors.
 
Nimekwambia kojoa ulale sibishani na masikini, ww kama una hela njoo kesho ofisini ulipie three bedroom ya 150sq floor ya 17 inauzwa 350k usd. Kama kweli ww 22mil kwako ni hela ya weekend.

I am not financially illiterate to do such a transaction!
 
Una mapungufu makubwa sana ya ulelewa wa biashara za real estate. Tofautisha kabisa real estate developer na real estate agent au kwa jina jingine realtors.
Kwanza umeelewa nilichoandika na maana yake tuanzie hapo kwanza? Kama hujaelewa kojoa ulale tusisumbuane hapa?
 
Wanazingua hawa ******* badala ya kupiga simu waje ofisini waangalie mradi wanaongea usenge usenge, mi siwaachi nawapasua, tena nawakanyagia kweli kweli
Hawana hela 😹😹
Wape vidonge vyao mpaka wakimbie wote..!!
 
Mangi eee hebu tuwekee hapa gharama nyingine mnunuzi atakazolazimika kulipia baada ya kununua hiyo nyumba.
Kmf.
1. Security
2. Maintenance
3. Kodi ya ardhi/jengo
4. Usafiri
Etc
Tunaita service charges ambazo zitakuwa zinafanana na sq meter za unit zetu. Kwa mfano tuna unit za sq 52, 54, 80,98,120,124na 150 hizi zote ni aina za unit au apartment za saiz hizi. So apartment yyt utakayoichagua hapo na service charge yako itakuwa hiyo hiyo kwa mwezi, mfano ukinunua one bedroom ya 52sq service charge yako itakuwa 52usd kwa mwezi, kwahiyo kwa kifupi ni kuwa sq meter zako ndio service charge yako
 
Back
Top Bottom