2,953.54 USD hadi Airport, DAR iwapo mzigo unatoka moja ya hizi shemu: Turkey, UAE, India, Egypt, Georgia, Jordan au Lebanon kwa uzito wa 115KGGharama za Dubai kwa 115kg zikoje ?
Namaanisha mzigo wa uzito huo kutoka India to Dubai.2,953.54 USD hadi Airport, DAR iwapo mzigo unatoka moja ya hizi shemu: Turkey, UAE, India, Egypt, Georgia, Jordan au Lebanon kwa uzito wa 115KG
- Ambapo baada ya mzigo kufika clearance naweza kufanya mimi au ukapewa documents ukafanya wewe mweneywe.
Hii model haipo sokoni kwa sasa.Mwl.RCT nahitaji huu mzigo,je utanigharimu kiasi gani mpaka kuupata mkononi (dar)View attachment 808300View attachment 808301
Mkuu nimekua nafwatilia ununuaji wa mitandaon hasa hapa tz, je kuna altenative ya kutumia posta? What if nikijaza jina langu, namba ya simu,jina la mkoa nilipo alafu nikatumia postal code ya mkoa au wilaya badala ya P. O. BOX je nitapata mzigo wangu??Ingia aliexpress tafuta brand zisizo na majina makubwa utapata.
mkuu hii vp Creative Personality Minimalist Leather Normal Waterproof LED Watch Men And Women Couple Watch Smart Electronics Casual Watches-in Digital Watches from Watches on Aliexpress.com | Alibaba GroupHii model haipo sokoni kwa sasa.
View attachment 808313
Tafuta nyingine hapa: Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com
Ili kwa hakika upate mzigo wako, ni lazima uwe na Sanduku la posta, Usipo fanya hivyo basi ni kuwa unacheza bahati nasibu ya mnzigo kukufikia au kuto kukufikiaP. O. BOX je nitapata mzigo wangu??
Kwa EMS mzigo unaweza kukufikia, ghalama ya EMS ni kubwa ukilinganisha na njia ya kawaida ya posta.je kuna altenative ya kutumia posta?
Jina, namba ya simu na Physical address - Vitatumika hivi iwapo utatumia express shipment, ambapo kampuni husika kama DHL, ARAMEX etl, watakuletea mzigo wako nyumbani aua ofisini kwako.What if nikijaza jina langu, namba ya simu
samahani mkuu,hiyo ni mpaka naipata mkononi bila malipo mengine!!!Utalipia TZS 28,800
View attachment 808493
Hivi Mkuu unaweza kunisaidia kujua, mzigo wa Tsh 1,300,000 mpaka nautoa bandarini naweza kulipa kodi kiasi gani ?Shukrani kwa ushauri.
Karibu
- HS code a mzigo husika ndio inatupatia kiwango chakodi.Hivi Mkuu unaweza kunisaidia kujua, mzigo wa Tsh 1,300,000 mpaka nautoa bandarini naweza kulipa kodi kiasi gani ?
Mkuu orodha ya hizo HS Codes na gharama ya kodi inayopaswa kulipa, naweza kuiona wapi, au mpaka niende kuulizia TRA ?- HS code a mzigo husika ndio inatupatia kiwango chakodi.
- Kuna mizigo mingine unalipia VAT tu, hivyo inakuwa ni kiais kidogo.