Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl Rct nashukuru mzigo wangu wa simu ya xiaomi note 4 niliupata salama Na ndani ya muda ulioahidi.Nimependa unavyojibu maswali ya mteja Kwa haraka.Good job brother!
Jamaa anajua nini anafanya, ukiwa ndio unaanza kufanya nae biashara unaweza kuwa na wasi wasi kweli lakini mkuu wala SIO tapeli na ana kauli nzuri kwa mateja wake.
 
Nimeiona kwenye site HII HAPA Mwl.RCT.
upload_2018-7-3_10-1-19.png

TZS 363,300
 
Neno BID hutumika kwa bidhaa zilizo kwenye mnada.

Ambapo bei huanzia chini (starting Bid), na kupanda kadri dau la mnunuzi linavyopanda,

Hivyo ili ushinde manunuzi inatakiwa uweke dau kubwa zaidi ambapo hakuna mnunuzi mwingine wa kuweza kufikia hiko kiwango ndani ya muda wa muda kwisha.

Utafutapo bidhaa EBAY tafuta zile zenye kipengele cha BUY IT NOW
Mkuu nichekie hii hadi naivaa nalipa Tshs ngapi?
HD 1280*960 Spy Wrist 8gb DV Watch Video Hidden Camera DVR Waterproof Camcorder# | eBay
 
Nikilipia gharama hiyo mzigo utanifikia mpaka nilipo au kuna gharama nyingine itakayoongezeka...
Hii ni ghalama ya kuufikisha mzigo Dar.
- Iwapo upo Dar utakuja kuuchukua mzigo bila ghalama nyingine yeyote.
- Iwapo upo mkoani, basi utalipia TZS 15,000 ya kutumiwa mzigo wako kwa EMS, haya malipo ya EMS ni baada ya mzigo kufika

NB:
Iwapo mamlaka ya mapato ikihitaji ulipie VAT/ KODI itafahamika baada ya mzigo kufika.
 
Dah! Hapo parefu mkuu..... Chini ya laki nne labda ntapatai ipi yenye 64 gb, 4g Wi-Fi na camera nzuri. Xiaomi au lenovo au brand yoyote yenye akili?
Ingia aliexpress tafuta brand zisizo na majina makubwa utapata.
 
Back
Top Bottom