SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Jamaa anajua nini anafanya, ukiwa ndio unaanza kufanya nae biashara unaweza kuwa na wasi wasi kweli lakini mkuu wala SIO tapeli na ana kauli nzuri kwa mateja wake.Mwl Rct nashukuru mzigo wangu wa simu ya xiaomi note 4 niliupata salama Na ndani ya muda ulioahidi.Nimependa unavyojibu maswali ya mteja Kwa haraka.Good job brother!