Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Noted

Kwenye link husika hakuna kipengele cha kuweza kuchagua aina ya lens
sawa ila niliona ukishuka mpaka chini wameonesha aina mbali mbali za hizo miwani na aina ya vioo... ila shukrani mkuu...

nawezaje kulipa... na baada ya siku ngapi ntaipata toka kwako boss...
 
Ghalama: TZS 62,660
Muda: Ndani ya wiki mbili.
upload_2018-6-1_6-36-8.png
 
Mkuu nikiri kuwa sijausoma uzi wako wote kutokana na urefu wake ila nimetokea kukubali na kukuamini......sasa Mimi nilihitaji Iphone6 so nijipange na price ipi pamoja transport expenses????
 
MWL RCT nashukuru nimeupata mzigo wangu salama kabisa.Niliagiza Simu mbili Xiaomi Redmond 5A na Xiaomi redmi 5 plus.Mungu akubari Sana Kaka.
 
View attachment 766110
Je kifaa umepata tayari?

Iwapo bado
- Hatua ya kwanza ni kufanya manunuzi: Bei ni TZS 149,420 (Manunuzi + kusafirisha toka USA )
- Hatua ya pili: Utachomeka kwenye TV yako kwa kutumia HDMI cable, na utafuatisha maelekezo ON Screen, ili kufanya initial setup na kuunga internet . Ni rahisi ndani ya dakika cahche unakuwa umekamilisha.

Hapo kifaa kinakuwa tayari kwa matumizi, na utaweza kupata TV channel yeyote utakayo ihitaji pamoja na filamu, Just kwa kutamka kwa sauti kwenye Remote (Alexa Voice Remote).

Mawasiliano: whatsapp 0784 496 856; kwa msaada zaidi ili kufanikisha kupata kifaa hiki.

KARIBU
Mkuu sijaelewa hapa,,hiki kinafanya kaz km king'amuzi au??
 
Back
Top Bottom