Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa ila niliona ukishuka mpaka chini wameonesha aina mbali mbali za hizo miwani na aina ya vioo... ila shukrani mkuu...Noted
Kwenye link husika hakuna kipengele cha kuweza kuchagua aina ya lens
sawa boss nimeona, nafanyia kazi mkuu...Ndani ya siku 21
Utaratibu wa malipo nimekutumia PM
Ghalama: TZS 62,660Hii itakuwa bei gani mpaka inanifikia? Kwa muda gani? Mwl.RCT
Glasses Lens Cleaner spray micro-fibre cleaning cloth with carry pouch | eBay
Boss tayari, nimesha lipia...Ndani ya siku 21
Utaratibu wa malipo nimekutumia PM
shukrani mkuuu...Nimepokea malipo.
Tracking number utapewa baada ya seller kushughulikia order yetu, Kawaida huwa ndani ya siku 3.
Ahsante na karibu.
TZS 301,250Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com
Hii kolo kolo yaweza kua sh ngapi hadi Iringa?
Mkuu sijaelewa hapa,,hiki kinafanya kaz km king'amuzi au??View attachment 766110
Je kifaa umepata tayari?
Iwapo bado
- Hatua ya kwanza ni kufanya manunuzi: Bei ni TZS 149,420 (Manunuzi + kusafirisha toka USA )
- Hatua ya pili: Utachomeka kwenye TV yako kwa kutumia HDMI cable, na utafuatisha maelekezo ON Screen, ili kufanya initial setup na kuunga internet . Ni rahisi ndani ya dakika cahche unakuwa umekamilisha.
Hapo kifaa kinakuwa tayari kwa matumizi, na utaweza kupata TV channel yeyote utakayo ihitaji pamoja na filamu, Just kwa kutamka kwa sauti kwenye Remote (Alexa Voice Remote).
Mawasiliano: whatsapp 0784 496 856; kwa msaada zaidi ili kufanikisha kupata kifaa hiki.
KARIBU
Angalia link nyingineMwl nitazamie hii finder unipe gharama zote Entièrement en stock TFT poche full HD numérique Satellite Finder KPT955H de la boutique en ligne | Aliexpress mobile n