Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,789
- 22,756
- Thread starter
- #2,021
Mkuu naomba bei ya hii hapa New Unlocked Original <BlackBerry> Bold Touch 9900 Smartphone 8GB 5MP Black 802975001330 | eBay
Naomba chagua seller mwingine.
Awe ni top rated seller.
Bei ya bidhaa ikiwa chini sana kuliko average price ya item husika inatakiwa kutilia shaka.