Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari ndugu Punnisher

Muuzaji tayari ameshughulikia order yetu.

Tumia hii link ku_track mzigo wako.
Code:
 http://global.cainiao.com/?spm=a3708.7860688.0.0.40c23b180gk3QO&lang=en
Tracking number nimekutumia PM
upload_2018-7-25_10-49-16.png

Next: Tracking number utapewa ndani ya siku tatu.
Mkuu Mimi nataka nyeusi
 
Ukimpta anae shipp Tz nijulishe tufanya biashara.
hakuna muuzajia anayetuma direct Tanzania

Nitafanya hivi: Nitaipokea hii simu ofisini Tsing Yi South (Kwai Tsing) au Ofisini HongKong,

Then ndipo nitaisafirisha kuja Tanzania.

Ghalama yote hadi DAR ni TZS 643,950
 
Poa! Tutamalizana PM.
 
Mkuu sina utaalamu wa kutuma link.
Niandikie kikamilifu
- Jina la bidhaa unaohiaji na sia zake
- Je hiyo bidhaa ummeiona site ipi?
Then mimi nitakupa link, utahakiki na manunuzi yatafanyika

Karibu
 
Mwl naomba msaada wa kufahamu ofisi zako ziko sehemu gani.

Na nijue kama unaweza niagizia baadhi ya vifaa vya gari freelander 2
 
Niandikie kikamilifu
- Jina la bidhaa unaohiaji na sia zake
- Je hiyo bidhaa ummeiona site ipi?
Then mimi nitakupa link, utahakiki na manunuzi yatafanyika

Karibu

Redmi 4a lcd with frame. Nimeiona aliexpress
 
Ghalama: TZS 55,785.15
Muda: Wiki tatu
Njia ya malipo: Mobile Banking
Redmi 4a lcd with frame. Nimeiona aliexpress
upload_2018-7-26_8-18-48.png

Code:
https://www.aliexpress.com/item/For-Xiaomi-Redmi-4A-LCD-with-frame-Display-and-Touch-Screen-Digitizer-Replacement-Phone-Assembly-Black/32821808628.html
 
Back
Top Bottom