Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Original Letv Cool 1 Dual Leeco Coolpad Cool1 Snapdragon 652 Mobile Phone 3GB RAM 32GB 5.5" FHD 13MP Fingerprint ID cellphone
Original Letv Cool 1 Dual Leeco Coolpad Cool1 Snapdragon 652 Mobile Phone 3GB RAM 32GB 5.5" FHD 13MP Fingerprint ID cellphone-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group

Mkuu nipe bei rangi silver.
TZS 326,745
1533431803293.png
 
TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI

1. Mawasilino yanafanyika na muuzaji

2. Muuzaji anatuma INVOICE ikiwa na ghalama yote (MANUNUZI + KUSAFIRISHA hadi bandari ya DSM)

3. MALIPO YANAFANYIKA - Kwa utaratibu tutakao kubaliana na muuzaji

4. TUNASUBIRI MZIGO KWA WIKI KATI YA 5 HADI 7 mzigo utakuwa umefika nchini - Iwapo utakuja kwa njia ya MAJI na huchukua siku 9 hadi 14 iwapo utatumwa kwa ndege

5. Baada ya mzigo kufika nchini ndipo taratibu za kuutoa mzigo bandarini/ airport unafanyika

6. Kuutoa bandari mzigo huwa kuna ghalama zake - Clearance/ TAX/ VAT

7. Hizo ghalama kipengele namba sita zitajulikana baada ya mzigo kufika nchini - Na uwe tayari kuzilipia kwa wakati


KARIBU
 
Mkuu huu mzigo ninaupata kwa sh ngapi?? Na nikitia hela kama j5 ijayo unaweza kufika lini?
Screenshot_2018-08-05-08-12-22.jpg

Mwl.RCT
 
Nikitaka kuagiza hiyo itakuitaku bei gani nipo Arusha.
Umesema upo arusha.
Na kwakuwa upo Arusha,
Baada ya mzigo kufika DAR, unatumiwa kwa EMS kwa ghalama ya TZS 15,000. Na mzigo utaupokea kwenye ofisi za EMS hapo ARUSHA.
MMbona bei imekua kubwa sana mkuu.

Njia mbadala: Iwapo mtu atakuchukulia hapa Dar kiasi utakacholipia ni: TZS 43,620 - 15,000 sawa na TZS 28,620

KARIBU
 
Umesema upo arusha.
Na kwakuwa upo Arusha,
Baada ya mzigo kufika DAR, unatumiwa kwa EMS kwa ghalama ya TZS 15,000. Na mzigo utaupokea kwenye ofisi za EMS hapo ARUSHA.


Njia mbadala: Iwapo mtu atakuchukulia hapa Dar kiasi utakacholipia ni: TZS 43,620 - 15,000 sawa na TZS 28,620

KARIBU
Poa.
 
Mwl.RCT vipi kuhusu mtandao wa Souq wa Dubai,ni mzuri kuagiza bidhaa au...
 
Back
Top Bottom