used 32 au 64gb sijajua sana sifa nyingine lakin kama hizoJe iwe ya size ipi?
Je iwe mpya aua iliyotumika?
Download hapa JFMkuu orodha ya hizo HS Codes na gharama ya kodi inayopaswa kulipa, naweza kuiona wapi, au mpaka niende kuulizia TRA ?
ukijibiwa uni tag
https://www.amazon.com/gp/product/handle-buy-box/ref=dp_start-bbf_1_glance
Am still waiting for his response
ukijibiwa uni tag
View attachment 812446
Manunuzi USD 17
Shipping USD 42
Jumla USD 59 Sawa na TZS 140,715 kwa mmoja.
Kwa nne ni TZS 314,820
Code:https://www.amazon.com/gp/product/handle-buy-box/ref=dp_start-bbf_1_glance
Tayari nimepokea malipo uliyofanya.I am ready to send the money , Naomba nikumbushe process tafadhali