Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Muhimu
 
Kaka nina simu ya batani aina ya nokia x2-02. Ina miaka 7 sasa. Naipenda sana na ipo vizur. Tatizo ni housing yake kwa ujumla imeharibika sana. Bat@an zinajitokea tu lakin cm nado inauwezo. Nimetafuta housing yake lakin cjapata. Je kwa nje naweza pata kwa sh ngapi? Picha hii hapa
 
TZS 62,010

JE IWE RANGI IPI?
Black... Gharama itaongezeka kiasi gani mpaka mzigo kunifikia dodoma
TZS 20,000 ghalama ya EMS

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipatie mawasiliano yako
View attachment 859231
Manunuzi yalifanyika
Tusubirie tracking number ndani ya siku chache

Ahsante
Shukrani sana mwl rct mzigo umenifikia na nimeupata ukiwa salama kabisa... pongezi kwako kwa huduma bora unazooendelea kuzitoa.. na ubarikiw,,, nimeokoa pesa nyingi sana.
 
Jamani nmefurahi sana. Leo nmepata kifaa changu Kutoka USA. Namshukuru sana mwal RCT.nliagiza Eko core digital stethoscope na malipo yote nlifanya pasipo kuonana nae. Na leo pia nmemtuma mtu ambaye ameniletea home.
Kwa huduma hii,mwal RCT utaendelea kunisaidia hata huduma nyingine Kama kulipia baadhi ya bills zinazohitaji credit cards/paypal
 
Leo nmepata kifaa changu Kutoka USA. Namshukuru sana mwal RCT.nliagiza Eko core digital stethoscope

Ahsante kwa mrejesho.
- Manunuzi yalifanyika tarehe 23.
- Estimated delivery ilikuwa ndani ya siku 14.
- Mzigo umefika mapema zaidi.
Kwa huduma hii,mwal RCT utaendelea kunisaidia hata huduma nyingine Kama kulipia baadhi ya bills zinazohitaji credit cards/paypal
Usisite kuwasiliana nami.
Karibu.
 
Mwl mwenzangu!!
msaada wako Kaka!!
Sina idea ya any online buying,lakin nahitaji vitu vifuatavyo.

MASHINE ya kukandia ngano.
MASHINE ya kupikia chapati.
Vyombo mbali mbali vya catering like serving dishes,glasses,vijiko

Pia outdoor furnitures!!

Natakiwa kufanya process gani before kuja kwako?
TAFADHALI nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…