Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa TZS 300,000

Simu utakayopata ni hii:
Xiaomi Redmi 6A
- 2GB 16GB
- 5.45" 18:9 Full Screen
- 13MP Camera

Picha
View attachment 855744
Kwa taratibu za malipo niandikie whatsaap: 0784 496 856
Asante Kwa huduma nzuri nilipata mzigo wangu
IMG_20181003_082514.jpeg
 
Asante Kwa huduma nzuri nilipata mzigo wangu
Ahsante kwa mrejesho.

XIAOMI ni moja ya kampuni zinazotoa simu bora zaidi, zenye ubora kwa ghalama nafuu, ubora wake ulinghanishwa na simu kama SAMSUNG, IPHONE etl, ila wao xiaomi wanauza kwa bei nafuu SABABU HAWAJAWEKEZA KWENYE MATANGAZO kama afanyavyo samsung na wengine.
 
Natakiwa kufanya process gani before kuja kwako?
TAFADHALI nisaidie
1. Fanya tafiti ALIBABA kuhusu upatikanaji wa hizo bidhaa

2. Pata CIF price kwa bidhaa husika - Wauzaji huwa wameweka mawasiliano yao ya email na whatsapp/ skype hivyo ni rahisi kuweza ku_chat nao.

3. Baada ya kuwa tayari umepata supplier wa hizo items basi waweza wasiliana nami kwa kukamilisha taratibu za manunuzi, kusafirisha na delivery baada ya mzigo kufika nchini.

Karibu
 
bila kodi sio?
Hio ni ghalama kamili, hadi mzigo unakufikia Dar.

Iwapo upo mkoani basi utaoneza TZS 20,000 kama ghalama ya kukutumia kwa njia ya EMS

Karibu
 
Hio ni ghalama kamili, hadi mzigo unakufikia Dar.

Iwapo upo mkoani basi utaoneza TZS 20,000 kama ghalama ya kukutumia kwa njia ya EMS

Karibu
nipo Dar.....nitakucheki karibuni inshaallah
 
Mwl mwenzangu!!
msaada wako Kaka!!
Sina idea ya any online buying,lakin nahitaji vitu vifuatavyo.

MASHINE ya kukandia ngano.
MASHINE ya kupikia chapati.
Vyombo mbali mbali vya catering like serving dishes,glasses,vijiko

Pia outdoor furnitures!!

Natakiwa kufanya process gani before kuja kwako?
TAFADHALI nisaidie
mpishi, hehehehe
 
1. Fanya tafiti ALIBABA kuhusu upatikanaji wa hizo bidhaa

2. Pata CIF price kwa bidhaa husika - Wauzaji huwa wameweka mawasiliano yao ya email na whatsapp/ skype hivyo ni rahisi kuweza ku_chat nao.

3. Baada ya kuwa tayari umepata supplier wa hizo items basi waweza wasiliana nami kwa kukamilisha taratibu za manunuzi, kusafirisha na delivery baada ya mzigo kufika nchini.

Karibu
AHSANTE SANA SANA!
barikiwa zaidi!
 
mimi nauliza kama bidhaa imeandikwa this item does not ship to tanzania. nifanyeje iliniipate
 
kama bidhaa imeandikwa this item does not ship to tanzania. nifanyeje iliniipate
1. Utanipatia link ya bidhaa husika

2. Nitakupa ghalama kwa TZS

3. Utalipia, utapewa tracking number (baada ya muuzajia kutuma)

4. Utasubiri mzigo ufike nchini

5. Mzigo ukifika (a) Utapata maelekezo uje uchukue ofisini au (b) Utatumiwa kwa EMS iwapo upo mkoani.

Karibu
 
Ndio ukweli upo.
Kama ujuavyo taratibu za mnada, bei ya kuanzia hua chini na hupanda kidogo kidogo
View attachment 890233

Iko kwenye mnada, hivyo hiyo sio bei yake halisi.
suppose unataka kununua sasa, utanunua kwa bei iliyotajwa na auctioneer au bei yako tuu kaa bidder, mana unaeza kuandaa kiasi tajwa hapo juu, mambo yakawa tofauti
 
suppose unataka kununua sasa, utanunua kwa bei iliyotajwa na auctioneer au bei yako tuu kaa bidder,
HUwezi kununua hadi
1. Muda wa mnada uwe umeisha
2. Dau la wanunuzi lifikie au lizidi kiwango cha juu cha mwisho alichoweka muuzaji.
3. Yaweza kutokea bidder wote hakuna aliyefikia kile kiwango kinachotakiwa hivyo mnada unafungwa pasipo bidhaa kuuzwa, Hivyo mnada unaahirishwa hadi itakapowekwa tena bidhaa sokoni.
mana unaeza kuandaa kiasi tajwa hapo juu, mambo yakawa tofauti
Hutakiwi kuandaa kiasi kilichopo sasa bali inatakiwa uandike dau la juu kuliko kiais unachokiona, hivyo hadi mda wa mnada unapoisha iwapo hakuna aliyefikia kiwango chako ulichoweka na dau uliloweka limefikia kile kiwango cha choni anachohitaji muuzaji, basi ndipo itatakiwa ulipie bidhaa ukiwa kama mshindi wa mnada husika.
 
HUwezi kununua hadi
1. Muda wa mnada uwe umeisha
2. Dau la wanunuzi lifikie au lizidi kiwango cha juu cha mwisho alichoweka muuzaji.
3. Yaweza kutokea bidder wote hakuna aliyefikia kile kiwango kinachotakiwa hivyo mnada unafungwa pasipo bidhaa kuuzwa, Mfano mzuri ni mnada wa zile KONTENA bandari, hakuna mnunuzi aliyefikia kile kiwango kilichokuwa kimewekwa / kinatakiwa. Hivyo mnada unaahirishwa hadi itakapowekwa tena bidhaa sokoni.

Hutakiwi kuandaa kiasi kilichopo sasa bali inatakiwa uandike dau la juu kuliko kiais unachokiona, hivyo hadi mda wa mnada unapoisha iwapo hakuna aliyefikia kiwango chako ulichoweka na dau uliloweka limefikia kile kiwango cha choni anachohitaji muuzaji, basi ndipo itatakiwa ulipie bidhaa ukiwa kama mshindi wa mnada husika.
Mpaka hapa sina swali tena. Nashukuru sana 😀
 
Back
Top Bottom