Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #2,241
Muda: Ndani ya wiki TatuHabari mkuu...natafuta display ya samsung galaxy s6 edge plus. Naomba bei na muda mpaka kufika Tz
Bei: TZS 333,900 Ref: https://bit.ly/2xBaCNp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda: Ndani ya wiki TatuHabari mkuu...natafuta display ya samsung galaxy s6 edge plus. Naomba bei na muda mpaka kufika Tz
View attachment 876011
Haitowezekana akuagiza hii bidhaa.
TZS 1,579,144Habari Mwl. mpaka naipata hii itakuwa bei gani Amazon product ASIN B00KGHFZMA
ANGALIZO
1. Usifanye malipo yeyote bila kuwasiliana nami kwanza, Kwa njia mojawapo ya mawasiliano tajwa hapo juu.
2. Haito tokea kupigiwa simu, au kuandikiwa ujumbe mfupi, kuwa fanya malipo kwenda namba Fulani ya simu.
3. Hakuna malipo yeyote yatakayofanyika kwa fedha taslimu kwa kukabidhiana mkononi.
4. Malipo yote ya fedha yatafanyika kwa utaratibu uliowekwa hapo juu.
5. Miongoni mwetu kuna wenye uoga na mawazo ya kuibiwa/ kutapeliwa pindi lijapo swala la fedha na swala zima la manunuzi mtandaoni.
Yaani kutuma fedha kwa mtu usie mfahumu/ kumuona/ asiye na ofisi mahala ulipo.
Na hujibainisha kwa haya maswali Ofisi yako iko wapi? , Uko wapi nataka nikukabidhi fedha mkononi au nataka tuandikishiane!
- ONDOA shaka, kwa kufuata taratibu zilizo ainishwa hapo juu, uko salama, Na bidhaa yako AU huduma utakayolipia utaipata.
- Iwapo UNA SWALI, PENDEKEZO au USHAURI wasiliana namI au andika kwenye hii thread.
KARIBU
Thank you kakaTZS 31,005
MUDA; Ndani ya wiki tatu.
Pour Samsung Galaxy J3 J320 J320F SM-J320F 2016 Affichage à L'écran Tactile Digitizer Assemblée Remplacement Pour Samsung J3 J320 LCD de la boutique en ligne | Aliexpress mobile
Habari yako mkuu, naomba kujua gharama kamili na lini mzigo utanifikia mpaka nilipo nipo mkoni
TZS 62,010
JE IWE RANGI IPI?
Black... Gharama itaongezeka kiasi gani mpaka mzigo kunifikia dodoma
Nipatie mawasiliano yako
Shukrani sana mwl rct mzigo umenifikia na nimeupata ukiwa salama kabisa... pongezi kwako kwa huduma bora unazooendelea kuzitoa.. na ubarikiw,,, nimeokoa pesa nyingi sana.
Sijaziona bado ndio nahangaikia kuzitafuta,ntahotaji pc2-3 pekee.Habari ndugu.
Ndio inawezekana.
Je umeziona kwenye site ipi?
TZS 906,300[Teclast ordinateurs portables F7 portable 6 gb RAM 128 gb SSD 14.0 ''Windows10 Maison Anglais Version Intel Quad Core 1.10 ghz bluetooth 4.2 HDMI de la boutique en ligne | Aliexpress mobile]
Hii ntapata kwa pesa ngap mpaka inanifikia mkononi
Leo nmepata kifaa changu Kutoka USA. Namshukuru sana mwal RCT.nliagiza Eko core digital stethoscope
Usisite kuwasiliana nami.Kwa huduma hii,mwal RCT utaendelea kunisaidia hata huduma nyingine Kama kulipia baadhi ya bills zinazohitaji credit cards/paypal
tupo pamojaView attachment 885869
Ahsante kwa mrejesho.
- Manunuzi yalifanyika tarehe 23.
- Estimated delivery ilikuwa ndani ya siku 14.
- Mzigo umefika mapema zaidi.
Usisite kuwasiliana nami.
Karibu.