Asante kiongozi
Ghalama ya kusafirishia inatokana na uzito wa mzigo, Waweza nunua bidhaa kwa bei ndogo, Ila ghlama ya kusafirishia ikawa mara 3 ya ghlama ya manunuzi. Hii ni vyema ukanunua hapa nchini.eligibility ya hii bidhaa kufka huku, na sijaona shipping fee hapo,
sawa, asanteGhalama ya kusafirishia inatokana na uzito wa mzigo, Waweza nunua bidhaa kwa bei ndogo, Ila ghlama ya kusafirishia ikawa mara 3 ya ghlama ya manunuzi. Hii ni vyema ukanunua hapa nchini.
View attachment 903647
mkuu hivi ghalama ya kodi si ile 18% au uwaga adi waangalie na mzigo wenyeweTZS 946,845
Muda: Ndani ya siku 14
Angalizo:
- Baada ya mzigo kufika, Utatakiwa kulipia kodi/ vat
- Ghalama itajulikana baada ya mzigo kufika
Hii ni VAT