Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Jamani naomba msaada juu ya app ya kikuu
Ni vyema ukapata Kindle PaperWhite - Hii ni device maalum nzuli kwa walio addicted na novel /vitabu kwa ujumla.
kindle.jpg


kindle_paperwhite_2015.jpg


Ambapo utakuwa ukinunua vitabu toka amazon na instantly unakipata katika kifaa chako na kuanza kusoma hapo kwa hapo.
Screenshot_2016_08_22_11_54_40.png
 
Mwl tafadhali naomba kama unaweza kunisaidia kujua gharama za hcho kitanda mpaka kufika TZ. Mteja wangu anakihitaji kama hicho
NIMEJARIBU KUWAULIZA MAFUNDI BAATI MBAYA WAMEKUWA WASANII , MAFUNDI WAWILI TOFAUTI WAMENITUMIA PICHA MOJA INYOFANANA NA WOTE WANADAI WAMEWAHI KUTENGENEZA KAMA HICHO.

Genuine leather bed frame Soft Beds massager storage safe speaker LED light Bedroom cama muebles de dormitorio / camas quarto-in Beds from Furniture on Aliexpress.com | Alibaba Group


PIA NAOMBA KUJUA KAMA HILI SOFA LINAWEZA KUPATIKANA

Living Room Sofa set corner sofa speaker real genuine cow leather sectional sofas minimalist muebles de sala moveis para casa-in Living Room Sofas from Furniture on Aliexpress.com | Alibaba Group

JAPO NINGEPATA FUNDI MTZ INGEKUWA NZURI SANA
 
Mwl Rct tafadhali natamani sana kumiliki simu ya Samsung kati ya S7 edge au A6 plus ila bei zake kwa kuagiza sijui.
Msaada wako km naweza pata gharama kupitia kwako please.
 
1541212893269.png

gharama za hcho kitanda mpaka kufika TZ.
Ghalama za kukifikisha tanzania ni TZS 3,882,780
Muda: Ndani ya wiki tatu (3)
Njia ya malipo: Bank Deposit
NB: Baada ya mzigo kufika ghalama za KODI/VAT zitajulikana toka mamlaka husika.
PIA NAOMBA KUJUA KAMA HILI SOFA LINAWEZA KUPATIKANA
Ndio linapatikana,
Ghalama ni TZS 4,233,375 kufikisha mzigo Dar.
Muda: Wiki tatu (3)
Njia ya malipo: Bank Deposit.

NB: Utanijulisha rangi utakayohitaji kati ya hizi pichani
1541213153983.png


1541213193202.png


1541213216831.png


1541213248264.png
 
Back
Top Bottom