Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Original Xiaomi Mi Pad 4 8.0 inch MiPad 4 Tablet wifi / LTE Snapdragon 660 Octa Core Tablet Android Mi tablet 4 Chinese verison

Original Xiaomi Mi Pad 4 8.0 inch MiPad 4 Tablet wifi / LTE Snapdragon 660 Octa Core Tablet Android Mi tablet 4 Chinese verison-in Android Tablets from Computer & Office on Aliexpress.com | Alibaba Group

+ add film case 128sd nipe bei Mwl
Hasa global version
1540334355746.png

TZS 679,725
Muda: Wiki Tatu
 
Siku ngapi hadi zinanifikia?
Ebay- Muda huwa ni ndani ya siku 30, Ila hutokea mzigo ukachukua wiki 5 hadi 6
Iwapo unahitaji ndani ya muda wa siku 21, ni vyema ukatumia ALIEXPRESS
je, kuna any additional cost nje ya hizo?
Mzigo ukifika nchini iwapo utazuiwa posta ili ulipiwe kodi/ VAT; basi itajulikana baada ya mzigo kufika nchini. Kumbuka ni wajibu wetu kulipa kodi.
 
Daaaah Mkuu Mwl.RCT Mungu akupe neema na maisha marefu Sana, Mzigo wangu umefika salama salimini!

Ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu walikuwa wanaanda mbavu za kunicheka kuwa nimetapeliwa! Hahahaha hahahaha

Ila SASA baada ya Mzigo kufika kila MTU anataka naye niwaagizie kupitiA kwako,

Mnyama xioami yupo mkononi, tegemea mafuriko kutoka nyanda za juu Geita!

Mungu akubariki Sana Mkuu!
umenunua bei gan hadi imekufikia mkononi? na mimi nahitaji
 
umenunua bei gan hadi imekufikia mkononi? na mimi nahitaji
AINA YA SIMU:
Xiaomi Redmi 6A
- 2GB
- 16GB 5.45" 18:9 Full Screen - 13MP Camera 3000mA

GHALAMA HADI INAKUFIKIA: TZS 320,000
MUDA:
Ndani ya siku 21
PICHA
1540529163940.png

Mnyama xioami yupo mkononi, tegemea mafuriko kutoka nyanda za juu Geita!
1540528586919.png
 
Online Shop New USB 3.0 OTG Pen Drive High Speed Micro USB Stick 128GB 64GB External Storage Memory Stick 32GB 16GB USB Flash Drive Pendrive | Aliexpress Mobile
GHALAMA: TZS 33,390
MUDA: Wiki Tatu
 
mkuu waweza nifanyia buy4me ya pc used in abroad iliyo in gud condition
 
mkuu waweza nifanyia buy4me ya pc used in abroad iliyo in gud condition
Ni vyema ukanunua hapa hapa nchini.

Zinapatikana kiurahisi, kwa harama nafuu kuliko kuagiza nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom