Original Xiaomi Mi Pad 4 8.0 inch MiPad 4 Tablet wifi / LTE Snapdragon 660 Octa Core Tablet Android Mi tablet 4 Chinese verison
Original Xiaomi Mi Pad 4 8.0 inch MiPad 4 Tablet wifi / LTE Snapdragon 660 Octa Core Tablet Android Mi tablet 4 Chinese verison-in Android Tablets from Computer & Office on Aliexpress.com | Alibaba Group
+ add film case 128sd nipe bei Mwl
Hasa global version
TZS 54,970013-18 Basket with Rope Leather Stamp Brass collectibiles | eBay
TZS 100,170Leather Craft Punch Tools Kit Stitching Carving Working Sewing Saddle Groover 18 191868734562 | eBay
TZS 152,400Delrin Leather Stamp Wolf's paw
TZS 54,970
TZS 100,170
Ebay- Muda huwa ni ndani ya siku 30, Ila hutokea mzigo ukachukua wiki 5 hadi 6Siku ngapi hadi zinanifikia?
Mzigo ukifika nchini iwapo utazuiwa posta ili ulipiwe kodi/ VAT; basi itajulikana baada ya mzigo kufika nchini. Kumbuka ni wajibu wetu kulipa kodi.je, kuna any additional cost nje ya hizo?
umenunua bei gan hadi imekufikia mkononi? na mimi nahitajiDaaaah Mkuu Mwl.RCT Mungu akupe neema na maisha marefu Sana, Mzigo wangu umefika salama salimini!
Ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu walikuwa wanaanda mbavu za kunicheka kuwa nimetapeliwa! Hahahaha hahahaha
Ila SASA baada ya Mzigo kufika kila MTU anataka naye niwaagizie kupitiA kwako,
Mnyama xioami yupo mkononi, tegemea mafuriko kutoka nyanda za juu Geita!
Mungu akubariki Sana Mkuu!
AINA YA SIMU:umenunua bei gan hadi imekufikia mkononi? na mimi nahitaji
Mnyama xioami yupo mkononi, tegemea mafuriko kutoka nyanda za juu Geita!
Nimekutumia PM362,520
Niandae sh ngapi nipate Mwl. used . Naweza pata ya chini ya 150,000Ni vyema ukanunua hapa hapa nchini.
Zinapatikana kiurahisi, kwa harama nafuu kuliko kuagiza nje ya nchi.