Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu nataka hizi simu niangalizie kwnye masoko ya india aliexpress nimezikosa oppo realme 2 ya 2gb ram,rom 16 na 3gb ram,rom 32gb.
Hakuna toleo la 2GB/ 16GB

3GB/ 32GB upatikanaji wake bado ni shida, Japokuwa hii model imetoka miez miwili iliyopita.
Tujipe muda.
 
Mkuu nahitaji kununua korosho zisizobanguliwa kilo 5 tu za mbegu. Utaratibu ukoje?
 
Hizi bidha naweza kuzipata kwa shilingi ngapi mpaka mkoni kwangu:
1.display ya samsung galaxy J7 ya 2016
Xiaomi redmi 6 pro 32 gb
3.xiaomi redmi 6 pro 64 gb
Msaada please.
Mkuu ulipata hyo display?
 
Nahitaji tablet mkuu
Je bajeti yako ni TZS ngapi??

Je unahitaji iwe na OS ipi? kati ya Windows OS, Android au iOS mobile?

Je unahitaji iwe na screen size ipi?

Je unahitaji iwe na internal memory ya GB ngapi?

Je unahitaji USED au ikiwa mpya??

Je unahitaji inayoweza kuwekewa laini ya simu au iwe inatumia WiFi pekee?

Nipe majibu na nitakupa pendekezo la Tabs sahihi?

Karibu
Whatsapp: 0784 496 856
 
Tarehe 29/10/2018 nilitoa pesa kwa ajili ya kulipia mzigo wangu. Jana tarehe 14/11 nilienda PPF tower nikachua mzigo wangu uko sealed. Nashukuru sana Mwl, sasa nina kila sababu ya kukuamini. Keep the ball rolling.
Hongera mdau.
 
Ghalama kamili inategemea

1. Freight cost - hii inatokana na uzito wa mzigo, kwenye link husika hakuna taarifa za uzito wa mzigo
2. VAT / kodi - Baada ya mzigo kufika nchini; Mamlaka husika ndio itatujia kiasi cha kulipia

Mzigo utakuwa na route mbili

Route #1. Toka kwa muuzaji hadi ofisini Kelsterbach, Frankfurt, ndipo usafirishwe kuja Tanzania
- Ghalama ya manunuzi ni US $788​
- Muuzaji anasafirisha ndani ya German tu, hivyo nitaupokelea Kelsterbach


Route #2. Safari ya mzigo toka Kelsterbach kuja tanzania; Freight cost itatokana na uzito wa mzigo.
 
Nahitaji laptop used dell. Bajeti dola 100. Nakulipa kwa PayPal. Niko Dar. Inawezekana?
 
Bajeti dola 100
Niko Dar. Inawezekana?
Haiwezekani
Sababu ghalama ya kusafirisha laptop huwa ni kati ya Dola 75 hadi 120 kutegemea uzito wa laptop husika.
Pia sokoni laptop zinauzwa kati ya dola 150 hadi 2,000 nakuendela, Fanya tafiti na utaona uhalisia wa bei.

Dola 100 ni sawa na TZS 230,000, Hiki kiasi hata hapa nchini huwezi kupata laptop dukani,
 
Nakulipa kwa PayPal.
Njia za malipo ninazo pokea/ tumia ni

1. Skrill na worldremit kwa walio nje ya nchi
2. Mobile banking kwa walio nchini
3. Bank deposit iwapo muamala ni zaidi ya Dola 1,000
 
Njia za malipo ninazo pokea/ tumia ni

1. Skrill na worldremit kwa walio nje ya nchi
2. Mobile banking kwa walio nchini
3. Bank deposit iwapo muamala ni zaidi ya Dola 1,000
Mkuu nataka kuweka link ili uniangalizie bei nashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…