Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Shukuran mkuu! vipi kuhusu kodi na gharama zingine km usafri hadi kuipata Au nikitoa hiyo nakuwa nimemaliza kila kitu
 
kodi na gharama zingine
- Computer & computer parts hazina kodi,
- Bali kuna VAT asilimia 18 (18% )

Ghalama zingine
- Clearance & Handling charges za kampuni husika ni TZS 120,000
 
Ghalama: TZS 991,200
Muda: Wiki Tatu (3)
Njia ya malipo: Mobile Banking
Mawasiliano: Kwenye post ya kwanza

KARIBU
Naomba bei kwa simu moja 32gb au 64 gb ili nione cha kufanya mahitaji ni simu moja na sio zote kwa pamoja.
Asante kwa huduma.
 
Mwalimu kwanza nashukuru kwa elimu nzuri ambayo umekuwa ukiitoa hapa jf.mm kwa upande nltaka kuagiza simu ya kampuni ya Xiaomi bajet yangu ni 350k yenye ubora wa camera 13 mp storage yake iwe 4gb RAM 64gb msaada please
 
Mkuu nipe bei ya xiaomi redmin note 4 ( 3GB RAM, 16GB storage) .
Oppo f3
 
Mkuu nimeiona xiaomi note 5 4gb 64 kwenye gearbest vp kwa $159.9 unaweza kunisaidia kuipata hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…