ziloi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 758
- 1,063
Shukuran mkuu! vipi kuhusu kodi na gharama zingine km usafri hadi kuipata Au nikitoa hiyo nakuwa nimemaliza kila kitu
Hawana toleo lenye HDD hizo
Wana SSD za 128GB na 256GB
Xiaomi Mi Notebook Air: full specifications about laptop, reviews, photo | Xiaomi-Mi.com
View attachment 938684
Xiaomi Mi Notebook
15.6 Inch
i5-8250U Quad Core 8G/256GB - TZS 2,409,600
13.3 Inch
i5-7200U Dual Core 8G/256GB - TZS 2,316,000
- Ni laptop bora, ambazo kwa ubora utalinganisha na MS surface laptop au Laptop za kampuni ya apple.