Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji kuagizia bidhaa alliexpress kwa kutumia BOX naomba kujua box la offfice hapa dodoma kwa sasa nipo DOM
 
Nagiza ndungu yangu nimekwama kujua box la post office za dodoma hapa
 
wewe unapatikana wapi?
Tumia muda
- Kusoma neno kwa neno posti ya kwanza na ya pili.
- Hii itakusaidia kuweza kuelewa nini hasa kinafanyika kwenye hii thread.
- Iwapo utakuwa na swali zaidi juu ya taratibu za kufanya order, utauliza

Karibu
 
kuna sehem nimeona 500k hapa nchini

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Ni vyema ukanunua hapa nchini.
 
Mkuu Xiaomi redmi note 7 naweza ipata kwa bei gani ? Mpaka mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…