Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TZS. 653,920
Muda: Wiki tatu (3)
TZS. 3,362,320Apple iPhone XS Max Fully Unlocked 64GB Space Gray (Renewed) https://www.amazon.com/dp/
B07K8RNW7H/ref=cm_sw_r_cp_api_i_lRj-CbGSZT1G0
Tumia mudawewe unapatikana wapi?
Samsung Galaxy A30.. RAM 4GB..internal 64 GB...camera 16+5 MP etc etc... Price yake ikoje na naweza ipata baada ya muda gani mkuu
TZS. 653,920
Muda: Wiki tatu (3)
kuna sehem nimeona 500k hapa nchiniAltenatively unaweza nunua hapa nchini ni around 550k
Thread hii ni maalumu kwa wanaohitaji kununua bidhaa yeyote toka nje ya nchi. Bidhaa ambazo
- Hazipatikani hapa nchini au
- Hata ukipata gharama yake huwa ni kubwa mara mbili zaidi, ukilinganisha na gharama ya Kununua nje + Gharama ya usafirishaji + Kodi
Ni vyema ukanunua hapa nchini.
Nipe picha (screenshot ) maandishi ya hiyo item, ili niweze ifunguaHii mpka mkonon itakuwa Tsh ngapView attachment 1119724
TZS. 3,362,320
View attachment 1119182
Njia ya malipo: Bank Deposit
Muda: ndani ya siku 14 itakuwa hapa nchini
Karibu
Altenatively unaweza nunua hapa nchini ni around 550k
TZS. 1,759,240Apple iPhone XR, Fully Unlocked, 64 GB - White (Renewed) Amazon product ASIN B07P978C2Rna hii ile ya mwanzo haina tofauti sana na hapa kwetu
Umeandikiwa hapo bei kwa tsh. jumlisha na shipping costHii mpka mkonon itakuwa Tsh ngapView attachment 1119724