Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Sahihi, ikitokea mzigo unadaiwa kodi, tunawajibika kulipia.
Sawa kaka... leo nimekuchek kukupa big up zako kwa kazi yako... sasa naomba unisaidie kutafta screen ya samsung j7prime na j5prime lcd display complete za gold. Na gharama mpka mkononi mpaka gharama yako
 

Attachments

  • 1573230512894-209145546.jpg
    163.6 KB · Views: 4
Mwl. RCT. Naomba bei ya hiyo bidhaa hadi Moshi. Ni refubrished hiyo.
 
Habari tena mkuu... nimepitia nimepata hizi.. naomba ziwe na logo yake ya samsung.. pia ni sh ngap mpaka dar... nisaidie kwa hili




 
je hii J5 ni single au Dual hole?, Je rangi ipi?
Na hii
J7 iwe rangi ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…