Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

samsung s8 au samsung s9
Bei itatofautiana kutokana na hizi sababu
#1. Je imenunuliwa toka nchi ipi? UK, USA, au China
#2. Njia ya usafirishaji
- Je inakuja kwa njia ya kawaida , posta, ambapo huchukua wiki kadhaa kufika ua
- Inakuja kwa njia ya hara - Ambapo ni siku chache mzigo inakuwa nchini.

Je nini unatakiwa kufanya
- Tafuta simu husika online
- Kisha nipe link yake na
Nitakupa gharama za kufikisha nchini.

Karibu.
 
Asante mkuu

K vant
 
Huduma yako inaonekana ni nzuri. swali je nitajuaje kuwa haya masoko ni kundi A au B? yaani yanasafirisha au hayasafirisha mzigo?
 
ukifungua ofisi na kampuni itakuwa poa sana. mambo ya kuaminiana si mazuri kwako na kwamteja.
Utajuaje Kama soko Fulani lipo kundi A au kundi B?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…