Uncle Livege
Member
- Mar 14, 2019
- 13
- 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TZS. 261,080TZS 45,063.73 21%OFF | FREE SHIPPING 220V 250A High Quality cheap and portable welder Inverter Welding Machines ZX7-250
US $21.78 20% OFF|FREE SHIPPING 220V 250A High Quality cheap and portable welder Inverter Welding Machines ZX7 250|Arc Welders| | - AliExpress
Hiyo bei gani mpaka inifikie mbeya, na muda je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia huu mjadala hapa: Kukatwa kodi kwa mizigo - JamiiForumsMwl msaada simu ya around $388 ikifika bongo kwa makadirio pale custom itachajiwa how much? Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalim nipe bei ya hii kitu mpaka kunifikiaTZS. 261,080
TZS. 3,927,500Amazon product ASIN B07V2PTCRQMwalim nipe bei ya hii kitu mpaka kunifikia
Sawa mwlTZS. 3,927,500
MudaL Siku 14
TZS. 3,927,500
MudaL Siku 14
TZS. 1,065,000
Bei itatofautiana kutokana na hizi sababusamsung s8 au samsung s9
Asante mkuuBei itatofautiana kutokana na hizi sababu
#1. Je imenunuliwa toka nchi ipi? UK, USA, au China
#2. Njia ya usafirishaji
- Je inakuja kwa njia ya kawaida , posta, ambapo huchukua wiki kadhaa kufika ua
- Inakuja kwa njia ya hara - Ambapo ni siku chache mzigo inakuwa nchini.
Je nini unatakiwa kufanya
- Tafuta simu husika online
- Kisha nipe link yake na
Nitakupa gharama za kufikisha nchini.
Karibu.
ukifungua ofisi na kampuni itakuwa poa sana. mambo ya kuaminiana si mazuri kwako na kwamteja.
Utajuaje Kama soko Fulani lipo kundi A au kundi B?BAADHI YA TOVUTI ZITAKAZOTUMIKA KUNUNUA BIDHAA
Ziko tovuti nyingi, siwezi orodhesha zote, baadhi ninazopendekeza ni kama AMAZON & EBAY ( Bila kujali .com, .in au .uk )
EBAY
![]()
AMAZON
![]()
UAE (DUBAI & ABUDHABI )
SOUQ
![]()
ALSHOP
![]()
CHINA
View attachment 496445
![]()
Masoko mengine kwa china ni kama ALIEXPRESS, ALIBABA n.k
JE NITAUPATA VIPI MZIGO WANGU BAADA YA KUWA UMEFIKA TANZANIA?
- Utapigiwa simu kukujulishwa kuwa mzigo wako umefika.
- Utaletewa ofisi kwa wale wanaoishi katikati ya jiji ya Dar es salaam, FREE DELIVERY. au
- Utaelekezwa mahala unatakiwa ufike ili uchukua mzigo - Ni city centre kwa walio Dar es salaam, Waweza kuja wewe mwenye au ukamtuma mtu akuchukulie.
- Kwa walio mikoani au nje ya Tanzania utatumiwa kwa njia ya EMS au kwa njia ya basi kwa kadri wewe utakavyo pendekeza njia ipi itumike – Utalipia hii ghalama.
Mifano hai:
1. Mteja Toka nje ya TZ (anaishi DRC) – Bidhaa yake imetoka China, Na alitumia kwa basi kwenda DRC.
![]()
2. Mteja ndani ya TZ anaishi Mkoani – Bidhaa yake imetoka UK
![]()
![]()
Wateja wote nimekutana nao hapa JF na hakuna tuliye onana ana kwa ana, Zaidi ya njia za mawasiliano tajwa hapo juu.
CHANGAMOTO
- Je, wanachoniambia UPS ni sahihi? - JamiiForums
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase) - JamiiForums
ANGALIZO
1. Usifanye malipo yeyote bila kuwasiliana nami kwanza, Kwa njia mojawapo ya mawasiliano tajwa hapo juu.
2. Haito tokea kupigiwa simu, au kuandikiwa ujumbe mfupi, kuwa fanya malipo kwenda namba Fulani ya simu.
3. Hakuna malipo yeyote yatakayofanyika kwa fedha taslimu kwa kukabidhiana mkononi.
4. Malipo yote ya fedha yatafanyika kwa utaratibu uliowekwa hapo juu.
5. Miongoni mwetu kuna wenye uoga na mawazo ya kuibiwa/ kutapeliwa pindi lijapo swala la fedha na swala zima la manunuzi mtandaoni.
Yaani kutuma fedha kwa mtu usie mfahumu/ kumuona/ asiye na ofisi mahala ulipo.
Na hujibainisha kwa haya maswali Ofisi yako iko wapi? , Uko wapi nataka nikukabidhi fedha mkononi au nataka tuandikishiane!
- ONDOA shaka, kwa kufuata taratibu zilizo ainishwa hapo juu, uko salama, Na bidhaa yako AU huduma utakayolipia utaipata.
- Iwapo UNA SWALI, PENDEKEZO au USHAURI wasiliana namI au andika kwenye hii thread.
KARIBU
Mkuu nimekupm hujanijibu...TZS. 1,224,000
Muda: Wiki 2