Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa laptop ni vyema ukaangalia aliexpress.

Ila kama zinatakiwa kwa idadi kubwa mfano 100pcs basi alibaba ni sahihi

Ila kwenye hiyo link niliyokupa naona wamesema minimum order ni 1 piece kiongozi...!
 
Samahani naomba kufahamishwa, MyUS wana shipping method flani cheap sana inaitwa Small Pack Saver. Naitaji kujua nikitumia njia hii mzigo na pokelea wapi au nitalazimika kwenda AirPort mwenyewe? Nimezoea kusikia DHL mzigo unaletewa adi nyumbani japo ni gharama, Vipi kuhusu hii njia ya SMALL PACK SAVER?
 
Mwalimu niangalizie blackberry passport original lakin iwe used and unlocked mpaka Mwanza Ina Bei gan
 
Duh Sikuwahi kuufungua huu uzi zaidi ya kuuona uki-trend for years.

Nmekwama mahali na very soon ntakucheck mkuu nahitaji car hand control brand hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…