Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nenda ofisini kwao mkuu kama uko Dar, hata kama hauko dar lkn una mtu kule unaweza kumuomba akakusaidia kufatilia. At least wangekupa taarifa ya mzigo kudelay kutokana na hali ya corona ilivyosababisha mambo kusimama.
Mkuu ofisi yao inapatikana wapi
 
Mwalimu ana ofisi kwani?
Sina hakina mkuu ila ninahisi atakuwa na tatizo maana jamaa ni mwaminifu mimi simjui personally ila nilikuwaga namtumia ela nliyokuwa napokea skrill ye ananitumiampesa mara kadhaa. Haya mambo ya kuagizia watu mizigo yana changamoto sana naona faiza ally tu ndo kayamudu
 
Nimewasiliana nae yuko poa. Na mizigo imeaanza kutoka kupokelewa hapa nchini. Kwa mliokuwa mnasubiria hilo basi ondoeni shaka. Hata yeye tayari ameshaanza kupokea parcels zilizokuwa zimekwama au kuchelewa. Kila mtu atapewa utaratibu wa kupokea mzigo wake
 
Karibu unique aircargo wasasfirshaji wa mzigo kwa njia ya anga
Tunabeba mizigo ya aina zote na bei ni nafuu kabisa
Mzigo ya kawaida n idola 13 kwa kilo ukiwa na mzigo mkubwa kuna discount
Mzigo yenye battery ndan ni dola 15 kwa kilo
Simu tunasafirsha na bei n idola 20 kwa simu moja
Mzigo unachukua siku za kazi 5-8
Ofisi zetu zipo kariakoo mtaa wa pemba na livingstone
jengo la bisnlum plaza second floor s15
call 0652472486
na china add 广州市荔湾区 岭南湾畔 西湾路.湾畔大街C1栋1206 (马查)18617335150.
au kujua shipping days zetu you can join our group

unique cargo 2View attachment 1500169
anzisha uzi wako acha kuharibu uzi wa mtu mwingine.....
 
Kuhusu utapeli kwa huyu Bwana hapana usimchafulie jina..amenihudumia zaidi ya Mara tatu na mizigo yote ilifika salama..Mara ya mwisho ameninunulia mzigo wa mil.1.5.

Wewe si ajabu ni yeye kwa kwa acc ingine mjini hapa
 
Sina hakina mkuu ila ninahisi atakuwa na tatizo maana jamaa ni mwaminifu mimi simjui personally ila nilikuwaga namtumia ela nliyokuwa napokea skrill ye ananitumiampesa mara kadhaa. Haya mambo ya kuagizia watu mizigo yana changamoto sana naona faiza ally tu ndo kayamudu
Kweli amepotea Mungu amssidie arejee tena. Jamaa ni mwaminifu sana nimeshamtumia kuagizw bidhaa mara tatu .

Mkuu mwl CRT rudi tafadhali.
 
Telegram mbona katibu ofisini kwao ni maeneo gani
Last seen long time ago....
Screenshot_2020-07-25-16-23-40-936_org.telegram.messenger.jpg
 
Ni nani mwingine mwaminifu awezaye kuaminika kwa kuagiza bidhaa nje ya nchi ?
mwenye uzoefu tafadhali ?
 
Back
Top Bottom