Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!! q1q wateja ako sijui wa USA au Urusi inatusaidia mini sisi kwani tunawajua hayo ni maandishi tu na ndivyo mulivyo hakamatiki MTU hapa labda hao haoHii commnet yako ni ya 3,755
Je ni kweli kuwa umesoma thread yote na comment zote zaidi ya 3000 kweli?? na kufikia hili hitimisho lako.
Je umepitia nyuzi zangu zingine za biashara kabla ya hii?
Karibu
Noted. Ahsante kwa maoni yako.Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!! q1q wateja ako sijui wa USA au Urusi inatusaidia mini sisi kwani tunawajua hayo ni maandishi tu na ndivyo mulivyo hakamatiki MTU hapa labda hao hao
Umemjibu vizuri sana mkuu. Mungu akuzidishie zaidi uzidi fanikiwa. Tuliofanya nawe biashara ni mabalozi wako toshaNoted. Ahsante kwa maoni yako.
Sina la kuongeza,
Nakutakia siku njema ndugu.
Karibu
We jamaa ni kama unachuki na jamaa nikupe habari huyu bwana nishafanya naye biashara niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tuOnyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!! q1q wateja ako sijui wa USA au Urusi inatusaidia mini sisi kwani tunawajua hayo ni maandishi tu na ndivyo mulivyo hakamatiki MTU hapa labda hao hao
Mbona mnatumia nguvu kubwa kujibu swali jepesi..... "Ofisi zenu ziko wapi.....?" Baadala kuleta jibu mnaleta Ulofa hapa mnajitambua kweli nyinyi?? halafu huyo zwazwa mwenzio mleta post anaulizwa ofisi ilipo anajifanya kiburi eti soma post za nyuma......!! Uzi upo namba 188 unataka tusome..vipi we we siyo useme tu.....na wewe "Pumba" on a ulichoandikaWe jamaa ni kama unachuki na jamaa nikupe habari huyu bwana nishafanya naye biashara niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tu
Kama umachuki zako Kausha mambo ya kike kwa mwanaume utabakwa
"niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna
Mkuu acha utapeli, na inaonekana una ID nyingi sana humu.Kulikoni KakaJambazi
Ndugu, Je umetapeliwa nini?
Muda wa mzigo kufika hutegemea njia ya usafirishaji unayochaguanimeona umeandika siku chache hii inakuaje
Muda wa mzigo kufika hutegemea njia ya usafirishaji unayochagua
- Zipo njia za usafirishaji za kati ya siku 7 - 14, za siku 21 hadi 35 , na zipo za zaidi ya hapo.
Soma zaidi hapa: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
Post #15 ya ndugu Brakelyn