KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hata kama kuna tatizo, hapaswi kuwa block wateja wake baada ya kukwapua hela zao, kwanini asiwe muwazi!! Au ni wewe mwenyewe mkuu!!Sidhani kama shida ni kuaminika nahisi amepata tatizo au yuko njenya mtandao . Mkuu huyu yu mwaminifu sana