Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Sidhani kama shida ni kuaminika nahisi amepata tatizo au yuko njenya mtandao . Mkuu huyu yu mwaminifu sana
Hata kama kuna tatizo, hapaswi kuwa block wateja wake baada ya kukwapua hela zao, kwanini asiwe muwazi!! Au ni wewe mwenyewe mkuu!!
 
Hii issue ina ushahidi Mkuu?

Nafikiri wahanga wangeazisha uzi ili kunusuru wengine kama kweli msemacho kina ukweli.

Moderator mna malalamiko yoyote kuhusu huyu bwana?
 
Mi pia muhanga mkuu kachukua hela tangu mwezi may hajibu msg zangu yuko online na kupokea simu.
 
Sidhani kama shida ni kuaminika nahisi amepata tatizo au yuko njenya mtandao . Mkuu huyu yu mwaminifu sana
Uamimifu ni mtaji pia. Vipi kama ameamua kujiwekeza kwenye uamimifu kwanza ili akipiga bomu lilipuke na watu wengi?
 
Kweli amepotea Mungu amssidie arejee tena. Jamaa ni mwaminifu sana nimeshamtumia kuagizw bidhaa mara tatu .

Mkuu mwl CRT rudi tafadhali.

tayari amerudi, naona anavomkent kwenye nyuzi mbalimbali, Soon ata settle hizo disputes
 
1597580623454.png

Nafanyia kazi jumbe zote, Moja baada ya nyingine.
 
Pambana kaka. ukimaliza tukupe kazi nyingine
#1. Bidhaa ya mteja Toka USA
1597585545603.png

#2. Bidhaa ya mteja kutoka URUSi
1597585676100.png

#3. Bidhaa ya mteja kutoka China
1597585775461.png

#4. Bidhaa ya mteja Toka London -UK
1597585917499.png

#5. Mzigo mwingine kutoka USA
1597586064963.png

Huduma ya Usafiri na usafirishaji imerejea katika hali yake ya kawaida.

Hivyo waweza wasiliana nami kwa order yako

Karibu
 
Mbona wachangiaji wengi humu wanasema "sijafanya nae kazi lakini namuamini" ........Mmmh kulikoni......!!!!!????
 
Hii commnet yako ni ya 3,755

Je ni kweli kuwa umesoma thread yote na comment zote zaidi ya 3000 kweli?? na kufikia hili hitimisho lako.

Je umepitia nyuzi zangu zingine za biashara kabla ya hii?

Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!!
 
Hivi ni shipping agents gani wanatuma kwa kutumia USPS, maana MyUS hawana option ya USPS lakin pia Comegateway hawana USPS.
Msaada tafadhari
 
Back
Top Bottom