Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hii commnet yako ni ya 3,755

Je ni kweli kuwa umesoma thread yote na comment zote zaidi ya 3000 kweli?? na kufikia hili hitimisho lako.

Je umepitia nyuzi zangu zingine za biashara kabla ya hii?

Karibu
Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!! q1q wateja ako sijui wa USA au Urusi inatusaidia mini sisi kwani tunawajua hayo ni maandishi tu na ndivyo mulivyo hakamatiki MTU hapa labda hao hao
 
Onyesha ofisi zako zilipo acha Ujanja....!!! q1q wateja ako sijui wa USA au Urusi inatusaidia mini sisi kwani tunawajua hayo ni maandishi tu na ndivyo mulivyo hakamatiki MTU hapa labda hao hao
We jamaa ni kama unachuki na jamaa nikupe habari huyu bwana nishafanya naye biashara niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tu

Kama umachuki zako Kausha mambo ya kike kwa mwanaume utabakwa
 
"niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna
Mbona mnatumia nguvu kubwa kujibu swali jepesi..... "Ofisi zenu ziko wapi.....?" Baadala kuleta jibu mnaleta Ulofa hapa mnajitambua kweli nyinyi?? halafu huyo zwazwa mwenzio mleta post anaulizwa ofisi ilipo anajifanya kiburi eti soma post za nyuma......!! Uzi upo namba 188 unataka tusome..vipi we we siyo useme tu.....na wewe "Pumba" on a ulichoandika
"niliagiza bidhaa na ikafika ikapokelewa postal dar na kuna ofis rasm na mlinzi na kuna wahudumu kibao tu" Narudia tena Ofisi zenu ziko wapi.....!!!?? Haibiwi MTU hapa.....!!!
 
Mnamuonea bure,jamaa ana namba rasmi ya kampuni na malipo yanafanyika kupitia namva iyo ya kampuni
Kama unahitaji kujua jina la kampuni chukua izo namba za kampuni nenda brela utapewa full details
Binafsi nimeshafanya nae biashara mara 2 na mizigo ilifika salama
 
Niseme tu neno moja naomba tuwe na utu, heshima katika kila jambo linalofanywa, ikiwa sio mhitaji wa huduma za thread hii ni VEMA na busara pia zikakuongoza kukaa kimya sio lazima uandike au utafute kick, kukaa kimya pia ni jibu LA hekima! Tuliothubutu kuagiza au kuhudumiwa na huyu Ndugu Mwl RCT ni wengi, Mimi ni mmojawapo na nimekuwa nikipokea parcel zangu kutoka USA, EU, n.k kupitia kwake!
 
Mfano kwa Mimi nataka nianze kuagiza bidhaa AliExpress lakini nimeona mizigo mingi inachelewa kufika inatumia mpaka siku 40 au 60 ila wew nimeona umeandika siku chache hii inakuaje
 
Back
Top Bottom