Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mzgo unachkua muda gan kufka??
Inategemea njia ya usafirishaji inayotumika.

Mifano hai
mkuu, kwa upande wangu toka nimeanza fanya shopping online nimepokea mizigo kwa Courier Companies zifuatazo.
Mizigo yote hii nimeipokea posta isipokuwa UPS, FedEx na DHL huwa napokea kwenye ofisi zao huku Arusha.
--->> Mahali nilipo (Destination)---> Arusha..

1. USPS (First Class Mail Int'l):
Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 14-24 kutokea USA..

2. USPS (Priority Mail Express Int'l): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 7-14 kutokea USA..

3. Royal Mail (International Signed): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 8-12 kutokea UK..

4. Royal Mail (Small Packets): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 8-14 kutokea UK..

5. UPS: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 4-8 (from any International Location)..

6. FedEx: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 3-8 (from any International Location)..

7. DHL: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 3-7 (from any International Location)..

8. China-post (Registered Mail): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 15-60 kutokea China..

9. China post (EMS): Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 5-14 kutokea China..

10. TNT: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 4-8 kutokea China..

11. Swiss post: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 15-45 kutokea China..

12. Standard Int'l: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 9-28 kutokea USA, 14-35 kutokea Asia, na 5-10 kutokea Europe..

13. Economy Int'l: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 21-45 kutokea China..

14. Hong Kong Post Airmail: Mizigo yote iliyokuja kupitia njia hii nilipokea Arusha kati ya siku 15-60 kutokea China..

Zaidi: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
 
1599398690240.png


1599398703205.png


1599398714869.png
 
Hapana mkuu bei ya usafirishaji ni kubwa kuliko bidhaa yenyewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hapana mkuu bei ya usafirishaji ni kubwa kuliko bidhaa yenyewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni sahihi, Huwa hivyo kwa aliexpress

Angalia amazon.com itasafirishwa kwa US $22.3 badala ya aliexpress
 
Mwl RCT naomba nitazamie dsplay ya smart aina ya InFocus M310, screentouch nitazamie halafu niambie mpaka itakavofika hapa nchini.
 
Back
Top Bottom