Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hyundai HY7524 5.2CFM, 1HP, 24 Litre Oil Free Direct Drive Silenced Air Compressor

Mwl.RCT , hiyo air compressor ni Tsh ngapi mpaka naipokea mikononi mwangu? Ukinifanyia BUY4ME.
Malipo ya awali ni TZS: 736,000

Malipo yatakayofuata

#1. Gharama za usafirishaji - Itatokana na uzito wa package yote ya mzigo itakuwa ni KG ngapi jumla, Uzito wa hii compressor bila package ni 22.5kg sawa na 569.94 USD [TZS 1,425,000 ]


#2. Clearance + VAT / Tax - Hii gharama itajulikana baada ya mzigo kuwasili nchini.

Hivyo kwa sasa andaa TZS. 2,161,000 kama gharama za awali za kufikisha mzigo Dar.
naipokea mikononi mwangu?
Pitia mchanganuo. Kuna gharama za tozo za VAT/Tax na Clearance itajulikana mzigo ukifika nchini.
 

Noted. Kumbe ni bora mara mia kununua hapa hapa nchini.

Shukrani kiongozi.
 
Tumia www.aliexpress.com kutafuta simu unayohitaji. Sio alibaba

Nimefanya hivyo ulivyonielekeza kiongozi but unfortunately Aliexpress hawana hiyo product mkuu.



Lakini pia, kwenye website ya Alibaba nimeona hapo kuwa minimum order ni 2pieces mteja anaweza akanunua kama picha inavyoonesha hapo chini boss.



Sasa sijajua tatizo ni nini mpaka unasema nitumie Aliexpress na sio Alibaba chief...?
 
Nasubiria jibu toka kwa muuzaji

Sababu kwa alibaba gharama ya manunuzi + kusafirisha hujulikana baada ya kufanya mawasiliano na muuzaji.

Bei waziandikazo sio bei itakayolipiwa item husika.

Sawa kiongozi ngoja tusubirie mkuu. Thanks.
 
Anaweza hata kutumia Alibaba ila wana minimum amount ya ku-order. Mfano kwa hii simu anatakiwa kununua si chini ya mbili.
Changamoto huwa kwenye njia ya isafirishaji, Kwa moja au mbili huitaji kutuma kwa Express kupitia DHL / ARAMEX wao huchukulia kama sample.

Na freight cost huw ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…