Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ahsante kwa feedback ndugu Chillah

 
Asalam Alyekum, vifaa Genuine vya 1KZ Engine tunaweza pata mkuu?

1KZ Engine*

1. Ring Piston - standard or Oversize?
2. Main & Con Bearing - Sizes?
3. Overhaul Gasket
4. Head Gasket - Notch?
5. Thrust Washer - standard or oversize?

0737397700
 
1. Ring Piston - standard or Oversize?


2. Main & Con Bearing - Sizes?



3. Overhaul Gasket


4. Head Gasket - Notch?


5. Thrust Washer - standard or oversize?


vifaa Genuine vya 1KZ Engine tunaweza pata mkuu?
Ndio vifaa Genuine vinapatikana , Tazama maelezo kwenye hizo link, Haki parts number, Kisha nijulishe ni spare zipi unachukua.

Muda wa Kufika nchini
- Muda ni kuanzia siku 7 hadi 14 kwa item zitakazo wahi.

Na

- Kati ya siku 14 hadi 30 kwa item zingine

Sababu items zinatoka nchi tofauti na pia njia za usafirishaji zinatofautiana
 
shukrani kaka swali la kizushi nilienda kufanya survey kko nikakutana na mwingine anauza kwa 150000 lakin haina fingerprints kwa kioo? inakuwaje hii?
Hicho kioo hakina uwezo wa kupitisha signal zinazotoka chini ya sensor/chip ya fingerprint kuja juu ya kioo, so utahitaji kioo chenye technologia hiyo
 
Mkuu Mwl. RCT nipe total cost ya hii incubator hadi inanifikia Njombe -TZ. Yenye capacity ya 196 au 254 eggs.
Nime i circle hapo kwenye picha ni Alibaba

Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
 
redmi note 10 pro
Xiaomi Redmi Note 10 Pro

Bei hutegemea
  • Size ya ROM/RAM utakayochagua
  • Njia ya usafirishaji itakayotumika, Je ni kwa express au kawaida kwa posta
  • Mahali tumenunua hiyo simu.

Sample ya bei ni hii hapa.


Je nini cha kufanya.
  • Fungua aliexpress.com au banggood.com na chagua simu husika
  • Kisha nipe link yake na nitakupa ghalama

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…