Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


---

--

AGM M7 4G LTE​

-Rugged Phone Unlocked
-4G LTE Dual SIM Phone with 35mm Super Speaker
-IP68/IP69K Waterproof
-2.4" Touch Screen
-1GB+8GB 2500mAh Battery
Code:
Bei TZS. 461,550 hadi kuifikisha Tanzania
https://www.amazon.com/gp/product/B094CY4C63/ref=ppx_yo_dt_b_asin_title_o00_s00?ie=UTF8&psc=1
---

 

Huyu muuzaji hatumi direct Tanzania

Iwapo mzigo utapitia kwanza nchi nyingine, kihsa ndio uje Tanzania, freight cost itakuwa kubwa zaidi.

Hivyo angalia muuzaji mwingine.


 
Massa

Tutachukua kwa huyu muuzaji

Code:
 https://www.aliexpress.com/item/4001165586265.html?spm=a2g0o.productlist.0.0.7cac5815xMSzsW&algo_pvid=eb74432c-9f2c-4129-af78-4242f8af663d&algo_exp_id=eb74432c-9f2c-4129-af78-4242f8af663d-16

Kofia moja ni TZS. 30,753

Rangi alizonazo ni hizi


Chagua namba (Rangi) na idadi kwenye hii picha
 

Namba 2 4 5
 
Idadi 5 gharama hadi mwanza tafadhari
TZS. 173,765

Muda: Wiki Tatu

Njia ya malipo: Bank Deposit

Update za shipment utapewa inbox

---
 

Hakuna njia nyingine ya kulipia zaidi ya bank? Namba yako ya tigopesa haifanyi kazi tena?
 
Habari ndugu zeus47

Huwa kuna restriction kwenye usafirishaji wa Perfumes toka USA/ UK kuja Tanzania.

Hivyo haitawezekana kufanya haya manunuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…