Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Inaonekana kuagiza kupitia kwako ni gharama kubwa sana.

Kwanza hapa hapa bongo mpya inauzwa Tshs 560,000, so uoni inakuwa vigumu kuwaste 281,143?.
Rejea utangulizi, post #1
==
Hivyo huwa tunaagiza nje ya nchi kama last option baada ya kushindikana kupata hapa nchini.
 
Kutokea AMZON

Code:
https://www.amazon.com/2021-Apple-24-inch-8%E2%80%91core-256GB/dp/B09326G4R1/ref=sr_1_1?crid=2VOCO74KOCCT0&keywords=24-inch+iMac+Apple+M1+Chip+with+8%E2%80%91Core+CPU+and+7%E2%80%91Core+GPU+-+Blue&qid=1659177898&sprefix=24-inch+imac+apple+m1+chip+with+8+core+cpu+and+7+core+gpu+-+blue%2Caps%2C669&sr=8-1
===
Utalipia kwa awamu tatu
#1. Manunuzi US $1632
#2. Kusafirisha USA to TZ inategemea uzito wa package ambapo 1kg ni US $27
#3. Clearance/ VAT hapa nchini
 
Hivyo huwa tunaagiza nje ya nchi kama last option baada ya kushindikana kupata hapa nchini.
Ila mkuu niwe mkweli, pamoja na hiyo option unayoisema, nimefuatilia uagizaji wako nje ya hapa JF asilimia kubwa garama zako zipo kwa aina ya bidhaa upo juu kwa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…