Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Kifutacho Mkuu, ulisema buyer anatuma picha kabla ya kutuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifutacho Mkuu, ulisema buyer anatuma picha kabla ya kutuma.
Asante, Hii ina maana ya kwamba Seller hawezi ku-reverse chochote tena sio!Kifuatacho
.- Tracking number UK to Tanzania, Baada ya siku chache nitakujulisha.
Rejea utangulizi, post #1Inaonekana kuagiza kupitia kwako ni gharama kubwa sana.
Kwanza hapa hapa bongo mpya inauzwa Tshs 560,000, so uoni inakuwa vigumu kuwaste 281,143?.
==UTANGULIZI![]()
Je Kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na umekosa kuipata?
Je kuna huduma unahitaji kulipiwa mtandaoni?
Kama jibu ni NDIO basi hii thread inakuhusu.
Thread hii ni maalumu kwa wanaohitaji kununua bidhaa yeyote toka nje ya nchi. Bidhaa ambazo
- Hazipatikani hapa nchini au
- Hata ukipata gharama yake huwa ni kubwa mara mbili zaidi, ukilinganisha na gharama ya Kununua nje + Gharama ya usafirishaji + Kodi
Mkuu hii mpaka bongo itakuwa ngapi? View attachment 2308714View attachment 2308714
Kutokea AMZONMkuu hii mpaka bongo itakuwa ngapi? View attachment 2308714View attachment 2308714
https://www.amazon.com/2021-Apple-24-inch-8%E2%80%91core-256GB/dp/B09326G4R1/ref=sr_1_1?crid=2VOCO74KOCCT0&keywords=24-inch+iMac+Apple+M1+Chip+with+8%E2%80%91Core+CPU+and+7%E2%80%91Core+GPU+-+Blue&qid=1659177898&sprefix=24-inch+imac+apple+m1+chip+with+8+core+cpu+and+7+core+gpu+-+blue%2Caps%2C669&sr=8-1
Okay, hatua ifuatayo.?Mzigo upo mikononi mwetu, sio kwa muuzaji.
View attachment 2308700
Mkuu apple store zipo... Itawezekana kuchukua huko?
NimeionaMkuu hii mpaka bongo itakuwa ngapi? View attachment 2308714View attachment 2308714
https://www.apple.com/shop/buy-mac/imac/blue-24-inch-8-core-cpu-7-core-gpu-8gb-memory-256gb
Ila mkuu niwe mkweli, pamoja na hiyo option unayoisema, nimefuatilia uagizaji wako nje ya hapa JF asilimia kubwa garama zako zipo kwa aina ya bidhaa upo juu kwa kiasi.Hivyo huwa tunaagiza nje ya nchi kama last option baada ya kushindikana kupata hapa nchini.
Nahitaji refillable cartridges for epson stylus sx435wView attachment 2304747
Nahitaji refillable cartridges for epson stylus sx435wView attachment 2304747
So ndio hio hio nitatoa mpk inifikie mkononi au ndio swali langu mkuu