Usisahau picha na feedback mzigo ukifika mkononiOkay, hatua ifuatayo.?
Owk sasa wakati nabuy nikaambiwa bidhaa haiuzwi tanzania.. na je nikubuy mzigo utafikaje mkononi kwangu? Kuna agent au niaje hapoSahihi, ndio kiasi utakachotoa
Ndio sababu ipo hii huduma ya BUY4ME na kuna hii thread ya manunuzi hapa JF. Fuata muongozo post ya kwanza. Then inbox kwa kukamilisha malipo Kwangu, na manunuzi yatafanyika ASAP.nabuy nikaambiwa bidhaa haiuzwi tanzania
Mimi mndio mfanya manunuzi na kusafirisha hadi nchininikubuy mzigo
Nimetoa ufafanuzi posti #1utafikaje mkononi kwangu?
Ok ngoja nikufate hukoNdio sababu ipo hii huduma ya BUY4ME na kuna hii thread ya manunuzi hapa JF. Fuata muongozo post ya kwanza. Then inbox kwa kukamilisha malipo Kwangu, na manunuzi yatafanyika ASAP.
Mimi mndio mfanya manunuzi na kusafirisha hadi nchini
Nimetoa ufafanuzi posti #1
View attachment 2317836
- Iwao uo mkoani utatumiwa kwa EMS au njia ya gari (Basi za mkoa)
- Kama upo dar kuna otion mbili
#1. Ufanyiwe delivery gharama kwa gharama yako. au
#2. Utapewa maelekezo uufuate mzigo.
Ni jambo zuri ila kuna mchafuzi wa hali ya hewa anaitwa Mwigulu akishajua anatumbukiza makato chonganishi ili tushindwe kukomboa mizigoKODI UTAKAYOLIPIA PINDI MZIGO UKIFIKA
- Pindi ununuapo bidhaa toka nje kumbuka kuna swala la kodi pindi bidhaa ifikapo nchini. (Kuna baadhi ya bidhaa huwa hazina nakodi – Mamlaka husika ndio huainisha bidhaa zipi zisizotozwa kodi)
- Utawajibika kwa malipo yote yatakayohitajika na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa bidhaa uliyonunua na iwapo utatakiwa kuilipia kodi.
- Gharama ya kodi hujulikana baada ya kuwa mzigo umekaguliwa na maafisa ushuru wa forodha hapa nchini.
- Iwapo kutakuwa na charges zingine Toka kwa shipping agent baada ya mzigo kufika utajulishwa na utawajibika kulipia.
- Malipo yote utakayofanya utapewa stakabadhi husika
Zingine Zipi hizo?Iwapo kutakuwa na charges zingine Toka kwa shipping agent baada ya mzigo kufika utajulishwa na utawajibika kulipia.
Mkuu mwl rct , naomba no YAKO ya whatsapp
NJIA ZA MAWASILIANO
Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 788 203 160