Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

nabuy nikaambiwa bidhaa haiuzwi tanzania
Ndio sababu ipo hii huduma ya BUY4ME na kuna hii thread ya manunuzi hapa JF. Fuata muongozo post ya kwanza. Then inbox kwa kukamilisha malipo Kwangu, na manunuzi yatafanyika ASAP.
nikubuy mzigo
Mimi mndio mfanya manunuzi na kusafirisha hadi nchini
utafikaje mkononi kwangu?
Nimetoa ufafanuzi posti #1
  • Iwao uo mkoani utatumiwa kwa EMS au njia ya gari (Basi za mkoa)
  • Kama upo dar kuna otion mbili
1659948637441.png

#1. Ufanyiwe delivery gharama kwa gharama yako. au
#2. Utapewa maelekezo uufuate mzigo.
 
Ndio sababu ipo hii huduma ya BUY4ME na kuna hii thread ya manunuzi hapa JF. Fuata muongozo post ya kwanza. Then inbox kwa kukamilisha malipo Kwangu, na manunuzi yatafanyika ASAP.

Mimi mndio mfanya manunuzi na kusafirisha hadi nchini

Nimetoa ufafanuzi posti #1
  • Iwao uo mkoani utatumiwa kwa EMS au njia ya gari (Basi za mkoa)
  • Kama upo dar kuna otion mbili
View attachment 2317836
#1. Ufanyiwe delivery gharama kwa gharama yako. au
#2. Utapewa maelekezo uufuate mzigo.
Ok ngoja nikufate huko
 
emoji778.png
KODI UTAKAYOLIPIA PINDI MZIGO UKIFIKA

  1. Pindi ununuapo bidhaa toka nje kumbuka kuna swala la kodi pindi bidhaa ifikapo nchini. (Kuna baadhi ya bidhaa huwa hazina nakodi – Mamlaka husika ndio huainisha bidhaa zipi zisizotozwa kodi)
  2. Utawajibika kwa malipo yote yatakayohitajika na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa bidhaa uliyonunua na iwapo utatakiwa kuilipia kodi.
  3. Gharama ya kodi hujulikana baada ya kuwa mzigo umekaguliwa na maafisa ushuru wa forodha hapa nchini.
  4. Iwapo kutakuwa na charges zingine Toka kwa shipping agent baada ya mzigo kufika utajulishwa na utawajibika kulipia.
  5. Malipo yote utakayofanya utapewa stakabadhi husika
Ni jambo zuri ila kuna mchafuzi wa hali ya hewa anaitwa Mwigulu akishajua anatumbukiza makato chonganishi ili tushindwe kukomboa mizigo
 
Iwapo kutakuwa na charges zingine Toka kwa shipping agent baada ya mzigo kufika utajulishwa na utawajibika kulipia.
Zingine Zipi hizo?
==
Angalia hiki kielelezo
1660280884587.png

- Iwapo mzigo umekuja kwa ndege, hizi charges #1, #3 na #4 zitahusika.
==
Na iwapo mzigo umekuja kwa njia ya maji ( Sea shipping ) basi huwa kuna charges zingine ambazo huongezeka na mchanganuo wake hutegemea mzigo husika.
 
Back
Top Bottom