Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Pamoja sana mkuu, ni mpenzi sana wa bidhaa za majuu mambo yangu yakikaa sawa nitakucheki mkuu!
 
Ninahitaji cartridge 440 & 441 za cannon, kwa hizo mbili zitanigalimu kiasi gani hadi kufika tz?
 
Ndugu mkamangaboy
mwalimu nataka mzigo huu nichanganulie bei hpo maana hautumwi moja kwa moja.

http://www.ebay.com/itm/M-Audio-Key...102773?hash=item27f2047475:g:ePYAAOSwDk5TtRco
1. Seller yupo UK, ila hajaweka wazi ghalama ya kuufikisha katika ofisi za UK

2. Seller ameweka kigezo cha kuthibitisha manunuzi ili atoe ghalama za kusafirisha


3. Kwa kuzingatia no. 1 na no. 2 hapo juu, naonelea itumike link hii ya AMAZON
Code:
 https://www.amazon.com/gp/product/B00IWRJSE2/ref=ox_sc_act_title_1?ie=UTF8&psc=1&smid=ATVPDKIKX0DER
Sababu
- lowest price kwa ebay ni USD $71 wakati kwa amazon lowest price ni USD $66.47

  • Mzigo utapokelewa kwanza USA ndipo utumwe kwa ndege kuja Tanzania
  • Ghalama ya kusafirisha USD $39
  • My charges USD $15
Jumla ya ghalama yote ni USD $120.47 sawa na TZS 279,851.81
 
Hujamwambia ikifika bongo itatozwa kodi zifuatazo:
Import duty, railway development levy, excise duty, vat
 
Hujamwambia ikifika bongo itatozwa kodi zifuatazo:
Import duty, railway development levy, excise duty, vat
Rejea post no.1 na no.2 nimeweka angalizo kuwa kwa bidhaa zote zinazoingia nchini huwa kuna Tozo mbalimbali toka mamlaka husika.

KARIBU
 
Habari ndugu mgodi
Ndiyo mkuu.
Je, nikiasi gani mpaka kufika hapa bongo? Nataka nilinganishe na bei za hapa tz, nione kama kuna unafuu.
Itakughalimu kiasi cha tzs 102,212.

Itachukua kati ya siku 21-28 kufika

karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…