Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hii ndio smartphone ambayo kwa mwezi unachaji mara tatu (3)
tu kwa matumizi ya kawaida.

Na kama ni heavy user basi kwa wiki unaichaji mara moja. Yaani kwa mwezi mara 4 tu.
- Hii ni Rugged Smartphones - ni kama ilivyo Ulefone ( video zake nimeweka awali)

upload_2017-4-19_15-14-36.png

upload_2017-4-19_15-15-5.png

Kama ujuavyo -tatizo kubwa la smartphone zilizonyingi ni uwezo wa kutunza chaji, Nyingi humfanya mtu atembee na chaja au power bank

Simu hii utaipata
- gearbest
- bangood
- aliexpress

Wasiliana nami ili kufanikisha manunuzi ya simu hii.
upload_2017-4-19_15-18-16.png
 
Mkuu xiaomi redmi note 3 pro bei itakuaje nipe total cost mpaka naipata mkononi
 
upload_2017-4-20_12-33-17.png

Official Page:
Code:
 http://www.mi.com/en/note3/

Review & User Comments:
Code:
 http://www.gsmarena.com/xiaomi_redmi_3_pro-8007.php

Xiaomi Redmi Note 3 PRO 5.5 Inch 2GB Ram 16GB Rom

Bei TZS: 418,140

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe
- Call/sms 0717 54 57 62 au
- whatsapp 0784 496 856
 
vipi hii simu itashika network ikiwa tanzania?
View attachment 498599

Official Page:
Code:
 http://www.mi.com/en/note3/

Review & User Comments:
Code:
 http://www.gsmarena.com/xiaomi_redmi_3_pro-8007.php

Xiaomi Redmi Note 3 PRO 5.5 Inch 2GB Ram 16GB Rom

Bei TZS: 418,140

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe
- Call/sms 0717 54 57 62 au
- whatsapp 0784 496 856

Samsung GALAXY Grand 2 G7108V Connectivity

  • Connectivity Technology:2G:GSM 850/900/1800/1900 3G:TD-SCDMA 1880-2010 4G: TD-LTE 1900/2300/2600 (Dual Simcards Dual Stanby)
  • Network Band: GSM 850/900/1800/1900MHz + SCDMA 1880-2010
 
Hizi band - 900/1800 zinatumika hapa nchini pia.
Kwa 250k-350 napata simu za Samsung 4g network 32gb ram 3 na 13mp rear camera na 5mp front camera Nina cash ipo kwenye mfuko wa shati.. Ukimiwekea hata link nichague mwenyewe not too bad mkuu

Nahitaji na lap top iwe toshiba, lenovo, HP au Samsung 4gb ram 500hd au 800 disc room na web camera bei 400k-550k

N.b mkuu pesa yangu ya madafu tusaidiane katika ili kwa wakati
 
Mkuu msaada kuna ndgu yangu anataka agiza gari aina ya Audi (ya 2016) toka Germny kwa ajiri ya familia (Wazazi) tatizo sio mzoefu wa mambo ya usafirishaji wa hizo bidhaa...

Msaada wa kujua agent wa gharama nafuu na gharama zingine za kulipia kama zipo;

na ikiwa gari ni ya kupewa sio ya kununua kuna kuhakiki gharama ya gari (CIF) ili itozwe kodi
 
Kwa 250k-350 napata simu za Samsung 4g network 32gb ram 3 na 13mp rear camera na 5mp front camera Nina cash ipo kwenye mfuko wa shati.. Ukimiwekea hata link nichague mwenyewe not too bad mkuu

Nahitaji na lap top iwe toshiba, lenovo, HP au Samsung 4gb ram 500hd au 800 disc room na web camera bei 400k-550k

N.b mkuu pesa yangu ya madafu tusaidiane katika ili kwa wakati
🙂🙂🙂
 
Ndio mkuu znakubali

Karibu
Nihatari hii phone
View attachment 498599

Official Page:
Code:
 http://www.mi.com/en/note3/

Review & User Comments:
Code:
 http://www.gsmarena.com/xiaomi_redmi_3_pro-8007.php

Xiaomi Redmi Note 3 PRO 5.5 Inch 2GB Ram 16GB Rom

Bei TZS: 418,140

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe
- Call/sms 0717 54 57 62 au
- whatsapp 0784 496 856

Hii ndio smartphone ambayo kwa mwezi unachaji mara tatu (3)
tu kwa matumizi ya kawaida.

Na kama ni heavy user basi kwa wiki unaichaji mara moja. Yaani kwa mwezi mara 4 tu.
- Hii ni Rugged Smartphones - ni kama ilivyo Ulefone ( video zake nimeweka awali)

View attachment 498272

View attachment 498273
Kama ujuavyo -tatizo kubwa la smartphone zilizonyingi ni uwezo wa kutunza chaji, Nyingi humfanya mtu atembee na chaja au power bank

Simu hii utaipata
- gearbest
- bangood
- aliexpress

Wasiliana nami ili kufanikisha manunuzi ya simu hii.
View attachment 498275
 
Kwa 250k-350 napata simu za Samsung 4g network 32gb ram 3 na 13mp rear camera na 5mp front camera Nina cash ipo kwenye mfuko wa shati.. Ukimiwekea hata link nichague mwenyewe not too bad mkuu
Ingia ebay

Tafuta itakayokufaa, kisha nipate link husika
Nahitaji na lap top iwe toshiba, lenovo, HP au Samsung 4gb ram 500hd au 800 disc room na web camera bei 400k-550k

N.b mkuu pesa yangu ya madafu tusaidiane katika ili kwa wakati
Fika kariakoo kama uo dsm

Utafankiwa kupata PC kwa hicho kiwango cha fedha

Karibu
 
na ikiwa gari ni ya kupewa sio ya kununua kuna kuhakiki gharama ya gari (CIF) ili itozwe kodi
Kwa mamlaka husika katika kukokotoa kodi haijalishi iwapo gari umenunua au umepewa.

Kanuni ya kupata kiasi cha kodi ni ile ile.
 
Back
Top Bottom