Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Sawa mkuu ndio maana mwalimu amenikimbia,
Avatar yako inanidhiaki
hapana sijakukimbia

Nilibanwa na majukumu mengine ya kulijenga Taifa.

Tuko pamoja, Karibu
 
Bhasi mkuu rejea post zangu then tujue namna ya kufanya
- Kwa hivi vigezo viwili 4G & 32GB rom; Kwa hiyo bajeti uliyonayo nimeshindwa kupta simu sahihi.
- Jaribu kutafuta
- Ukiikpata nipe lik yake na taratibu za manunuzi zitafanyika
 
- Kwa hivi vigezo viwili 4G & 32GB rom; Kwa hiyo bajeti uliyonayo nimeshindwa kupta simu sahihi.
- Jaribu kutafuta
- Ukiikpata nipe lik yake na taratibu za manunuzi zitafanyika
Siwezi kuchange £/€/$ na tsh ili ni tatizo nisaidie hapa then nakutumia link
 
Siwezi kuchange £/€/$ na tsh ili ni tatizo nisaidie hapa then nakutumia link
303b3ef3a2b9d582a096d012cf60d26e.jpg
 
View attachment 498599

Official Page:
Code:
 http://www.mi.com/en/note3/

Review & User Comments:
Code:
 http://www.gsmarena.com/xiaomi_redmi_3_pro-8007.php

Xiaomi Redmi Note 3 PRO 5.5 Inch 2GB Ram 16GB Rom

Bei TZS: 418,140

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe
- Call/sms 0717 54 57 62 au
- whatsapp 0784 496 856
Mkuu nrakutafuta soon ningependa pia kujua gharama za sony dav tz140 ili napoagiza niagize pamoja
 
upload_2017-4-24_13-0-8.png

Mkuu nrakutafuta soon ningependa pia kujua gharama za sony dav tz140 ili napoagiza niagize pamoja
Ndugu mtzmweusi

ukiwa tayari, tutafanikisha manunuzi
Code:
 https://www.sony.co.uk/electronics/all-in-one-home-cinema-systems/dav-tz140
Karibu
 
Bei ya hii sony?
upload_2017-4-24_15-23-12.png

Manunuzi US $130

Kusafirisha kuja TZ US $266.34 - Hii imetokana na uzito wa mzigo
upload_2017-4-24_15-40-53.png

Jumla US $396.34 , sawa na TZS 920,697.82

Hapo kilichobakia ni KODI/ VAT - Ambapo mamlaka husika ndio itatupangia baada ya mzigo kufika nchini.

Ref
Code:
 https://www.amazon.com/Sony-DAVTZ140-Home-Theater-System/dp/B007K5H4Z2
 
View attachment 500469

Manunuzi US $130

Kusafirisha kuja TZ US $266.34 - Hii imetokana na uzito wa mzigo
View attachment 500479
Jumla US $396.34 , sawa na TZS 920,697.82

Hapo kilichobakia ni KODI/ VAT - Ambapo mamlaka husika ndio itatupangia baada ya mzigo kufika nchini.

Ref
Code:
 https://www.amazon.com/Sony-DAVTZ140-Home-Theater-System/dp/B007K5H4Z2

Mimi natafuta:
(1)CYS 450 Automatic & Manual Faucet
(2)Glade Sense and Spray
 
Nashukru sana Mwl kwani mzigo wangu wangu umefika salama.Mwanzoni nilikuwa na wasiwasi kama kweli ingewezekana hasa ukizingatia kufanya biashara na mtu usiyemjua.Ongera sana kwa huduma na uaminifu na bila shaka tutafanya biashara zaidi.
 
Back
Top Bottom